Nifanyeje ili nimsahau ex wangu

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Nov 14, 2022
1,759
2,795
"Huyu kaka tulifahamiana tangu nilipokuwa form three, tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida hatukuwa na mahusiano yoyote kwa kipndi hicho, lakini siku zilivyozidi kwenda nilianza kumpenda kutokana na ukarimu wake.

Siku moja alinitongoza kama utani utani lakin mim ndo nilikuwa nishampenda haswaa nilimkubalia japo ni kama hakuwa serious sana ili mm nilimpenda sana. tuliendelea kuwa na ukaribu nikijivunia kuwa nae.

Aliniahidi kunioa lakini haikuwa hivyo baada ya familia ya upande wangu kuinglia kati mahusiano yetu

Niseme tu ukweli huyo kaka alikuwa wa kwanza kumpenda na mpaka leo sijawahi kumpenda mwanaume yeyote zaidi au kama nilivyompenda yeye

Tulifanya mengi lakini hatukuwahi kufanya sex hata mara moja kwa kipndi chote hicho. kwasasa niko mbali naye huwa nawasiliana nae mara chache. Ahadi zetu zilishakuwa batili lakini kinachonitesa ni kwamba nashindwa kumtoa akilini mwangu kabisa yaani akili yangu haitaki kukubali kwamba nishamkosa

Nfanyeje ili nimsahau na niweze kuwa huru khisia?" ok subiri majibu
 
I'm not familiar na kudrop comment honestly but huu Uzi umenigusa,

Sound like same stor 6+ yrs back nakumbuka Huyu X nilimkubali since Day one alivyohamia shule niliyokua na som nikiwa 4m3 n was ready to do anything awe happy the moment nimegraduate 4 honestly alinifanya niwe more than happy picha ilianza kua ya Moto pale nilipo jiunga chuo fulan hivi kupiga certificate, at the same point ye ndo alikua advance, naishia hapa.

kilichonikuta "n reason why cjawah kuget indeep na mtot mtu tena ni juu juu tu, nothing to lose.
to my experience kusahau might be impossible, solution ni ku move on na maumivu kifuani.

"True love never Die"
*n kama Una picha zake, conservations, no. yake n.k just Erase might hel kupunguza maumivu, tho the more unaendelea kua na ukaribu nae the mo prob otherwise Do what makes you happy 😊

My Best Wish kwake Siku nikikutana nae I wish nimwone akiwa Happy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom