Kuna uhusiano gani na wanaume kuvaa pete kwenye kidole gumba cha mkono?

Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,234
3,176
Wakuu habari,

Kwenye kukua kwangu nmekutana na baadhi ya vitu ambavyo ni 'unique' (upekee) tofauti na ilivyozoeleka. Kuna hili la baadhi ya wanaume kuvaa pete kwenye kidole gumba cha mkono (Ring on thumb), baadhi yao ukiwauliza huwa hawana majibu ya moja kwa moja ambayo ni direct ila zipo nadharia nyingi sana ambazo ukizifatilia utakutana na majibu mbalimbali yanayohusiana na uvaaji huo wa hzo pete.

Baadhi ya nadharia hzo ni pamoja na;

1. Ishara ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

2. Ishara ya Ujasiri na ushindi

3. Ishara ya kuwa na fedha au uchumi

Swali langu, je, hakuna jibu la nadharia 1 pekee inayowakilisha huo uvaaji kama ilivo kwa kidole cha pete ya ndoa/uchumba?

View attachment 2673930
 
Mimi poa najiuliza kwa wanawake kuvaa Pete kidole Cha kati wanamaanisha Nini

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Sasa si bora ao, kuna hawa wanavaa mapete yana vichwa vya mbwa, nyoka, na marangi rangi vidole vya mikono yote.
Nilikataa kumpa mkono mmoja wao katika dua za kidini juzi.
 
ezgif-1-86464a426a.jpg
 
Wakuu habari,

Kwenye kukua kwangu nmekutana na baadhi ya vitu ambavyo ni 'unique' (upekee) tofauti na ilivyozoeleka. Kuna hili la baadhi ya wanaume kuvaa pete kwenye kidole gumba cha mkono (Ring on thumb), baadhi yao ukiwauliza huwa hawana majibu ya moja kwa moja ambayo ni direct ila zipo nadharia nyingi sana ambazo ukizifatilia utakutana na majibu mbalimbali yanayohusiana na uvaaji huo wa hzo pete.

Baadhi ya nadharia hzo ni pamoja na;

1. Ishara ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

2. Ishara ya Ujasiri na ushindi

3. Ishara ya kuwa na fedha au uchumi

Swali langu, je, hakuna jibu la nadharia 1 pekee inayowakilisha huo uvaaji kama ilivo kwa kidole cha pete ya ndoa/uchumba?

View attachment 2673930
4. Wana mikataba na pesa za majini
 
Sema idadi ya washirikina miongoni mwa vijana inazidi kuwa kubwa. Inahitaji ushahidi usiotia shaka kwamba Vunjabei, Diamond na Frank Knows hawajihusishi na ushirikina. Zile pete wanazovaa sio kabisa
 
Back
Top Bottom