Habari wana jamii najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu .miaka 33
Dini - mkristo kkkt
Elimu - kidato cha sita
Kazi - jobless
Makazi - dar es...
Kila kukicha nimekuwa nikisoma matangazo ya kutafuta wapenzi, wachumba, mke na mume,tena yanaongozana ladies na gentleman najiulizaga si mtafutane mambo yawe rahisi tu.
Lakini sijawai kusoma...
WanaJF poleni na COVID-19. tuendelee kuchukua taadhari , wafanyakazi nawatakieni may mosi njema, wasio na kazi muendelee kutafuta kazi wala msikate tamaa mungu atajibu maombi yenu.back to the...
Habari za humu wanajamii.
Najua huku wapo watu wa aina mbalimbali walioolewa na wale ambao bado na kwa namna moja au nyingine wanahitaji wapate wenza wao kupitia huku au hata kwingineko.
Binafsi...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Mimi nina miaka 33 natafuta mchumba/mke mwenye sifazifuatazo.
1. Aliye na hofu ya Mungu.
2. Dini awe Mkristo (born again christian)
3. Awe mtumishi wa umma/mfanyabiashara.
4. Asiye na mtoto.
5...
Naitwa Luca N Lushanga Nipo Geita Natafuta Mpenzi Na baadae Mke Umri Wangu Miaka 26.
Nahitaji Mwanamke Anaejitambua asiwe Mlevi Wa pombe Pia awe Anajua nini Maana ya Mme.
Kwa Mdada Aliyetiari...
Assalam alykum
Natafuta mwanamke wa kumuoa awe muislam ana maadili mazuri ya kiislam.
Umri wake kuanzia 23 hadi 30.
Mi ni mwislam umri wangu 30
Nimeajiriwa
Naishi Dar es salam
Aliekuwa tayari...
Naitwa Iman
Umri miaka 26
Nimejiajiri nb. Mkurugenzi wa Kampuni
Makazi: SHINYANGA
SIFA ZA MSICHANA HUYO
- Awe mkristu
-black beauty
- awe mtiifu
- awe mkweli
-urefu wa kati
-umbo la kati
-...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Wanasema hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni takribani 5yrs imepita tangu nifiwe na marehemu mke wangu. Mara baada ya mama watoto wangu kufariki nilikuta nimeingia katika mapenzi na mama mmoja ambae...
Mimi naitwa Jeff nakaa Dar. Nina miaka 40 natafuta mwanamke ambaye tutakubaliana kuoana. Nimeajiriwa na pia Nina shughuli zangu ndogondogo.
Awe mwembamba asiwe mnene hata akiwa mnene asiwe na...
Habari zenu wakuu
Mimi Ni kijana mwanachuo (20-24) ndo umri wangu
Takribani miezi mitatu imepita tokea niachwe na mwanamke niliempenda kwa dhati
Nimepata shida kumsahau ingawa kidonda ndio...
Kuhusu Mimi;
Umri: Miaka 35
Kazi:Mwajiriwa Serikalini
Elimu:Shahada ya uzamili katika maswala ya anatomia ya binadamu.(Human Anatomy)
Familia/Mahusiano:Sina mtoto wala mke ingawaje niliwahi...
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke...
Wadau,
Mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12, nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo, natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha...
Mimi ni mwanaume, 44 yrs Nina watoto wawili
Nimejiajiri kwa shughuli zangu binafsi hapa Dsm
Dini yangu ni Mkristo ,
Mwanamke anaehitajika,
Mkristo wa dhehebu lolote , umri, elimu na kabila so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.