Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi.
Rangi yangu kama ya Hamisa obeto.Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai)
Urefu ni size...
Niliwai kuweka offer yangu humu kuwa nahitaji kuoa lakin mke asiwe na uwezo kwa namna yoyote kuzaa. Nitampenda mno. Nina watoto 2 tayar.
Mama zao walishaolewa zaman huko. Sitak kuongeza kamwe...
Wakuu huu Ugonjwa wa Corona ni siriaz afu ukiwaza Chain yake basi Walioathirika wanaweza kua wengi kuliko, tuzidi kuchukua tahadhali madhubuti
Sasa nije kwenye Mada
Hili jukwaa ni kwa ajili ya...
Vigezo;
Umri:miaka 22-28.
Dini:Muislamu.
Elimu: kuanzia f.four na kuendelea.
Asiwe na mtoto.
Mimi;
Umri:miaka 30.
Dini:Muislamu.
Elimu: chuo kikuu.
Sina mtoto.
Karibuni PM.
Sent using Jamii...
Habari wanajamvi wenzangu!!
Poleni kwa Majukum
Kwa jina naitwa John,
Umri wangu miaka 28,
Elimu yangu ni Shahada
Ni mkazi wa Mwanza
Nipo hapa kutafuta rafiki/mwenza ambae yupo serious na anaejua...
Utangulizi hapo juu, unamaana,
Ningependa kumpata mwanadada anayejitambua, anampenda Mungu na kujiheshimu.
Elimu sio dili, vigezo hapo ndio vinamata.
Mimi ni MKRISTO.
Awe na umri kati ya...
Nawasalimu toka Kijiji Cha Wishiteleja. Wilaya Kishapu, Mkoani Shinyanga.
Ngoja twende kwenye mada, maana staki kumchosha mtu hapa.
Sasa baada ya kuweka tangazo la kutafuta Mchumba, Mume nk...
Poleni na corona guys tujihadhari huko marekani watu weusi wanaongoza kwa vifo ni kwasababu wanaongoza pia kwa idadi ya watu walio na kisukari na magonjwa yanayofanana na hayo so take precautions...
Sina mengi ya kusema.
Sitaki kuwa selective maana upweke unaniua.
Kama we ni mwanamke, umri 20 - 27, dini yoyote, rangi yoyote basi njoo tuyajenge.
Mimi ni Muajiriwa.
Umri wangu ni miaka 28...
hallo guys, this is more than siriasy, poleni na majukumu. Najitokeza katika jukwaa hili nikileta ombi langu hususa nikwa mdada mmoja tu ambae tangu utoto wangu nnandoto ya kumoA mwenye sifa tajwa...
Habari wana JF, natafuta Rafiki wa kike, ambaye tunaweza kujenga family hapo baadae.
Sifa;
Awe mcha Mungu, akiwa Mkristo itapendeza.
Awe na uelewa wa maisha na kujua nn anapaswa kufanya
Elimu...
kazi:swissport
Dini:mkiristo
Umri:29
Kabila:Mchaga
Mengine dm
NINAE MTAKA
Umri:usiozidi MIAKA 28
Asiwe mvivu
Kabila[emoji38]ote
Mengine dm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni kijana wa kitanzania ninayefikilia kujiajili. Umri ni miaka28.. Mrefu wastani..
Dhumuni la kuleta tangazo hili hapa, ni kuwa. Nimekaa nikafiliki. Palipo na mafanikio ya Mwanaume yeyote...
Habari mm ni kijana mwenye miaka 27 naish Dar natafuta mwanamke mjasiriamali nataka nianzishe nae mahusiano then anizalie mtoto na nimesema awe mjasiriamal sababu itambid ajiajir mwenyewe Ila...
Habari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini...
Hello ladies nahitaji mwanamke mwenye umri unaonzaia 35 na kushuka hadi 20
Alieserious anicheki inbox
Umri wangu miaka 37
Elimu yangu Master degree
Awe anajitegemea kiuchumi sio mpiga vizinga...
My real name is George.
Naishi Magoneni Mikumi.
Nimeajiliwa katika organisation moja hapa Mwenge.
Kwa sasa kwa kuwa niko home due to
Covid-19 lockdown i need female friends to chat with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.