Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nimekusubiri sana mpenzi, mke na mama wa watoto wangu. Uko wapi mbona umechelewa sasa mamangu? Ujitokeze tuitengeneze familia. Mwanamke uliye na ndoto ya kuwa na mume na kuwa na familia yenye...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for teaching. I’m...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
Muda umefika sasa wa kutafuta jiko - yaani kuoa. Nina miaka 39 sasa natafuta binti mtanashati, mrembo, mpole na mshika dini - awe ana miaka 22 hadi 24 asiwe na mtoto, msomi walau kidato cha nne...
2 Reactions
84 Replies
11K Views
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!! Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume. Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha. Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka. Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye...
16 Reactions
168 Replies
15K Views
Katika pita pita yangu kwenye mitandao nimekutana na hii,nafikiri inaweza ikapata msaada zaidi kwa wale wana JF ambao nao wanatafuta wenza. Naomba niquote: "Mimi naitwa Raymond. Ni mtanzania na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanajamvi wenzangu!! Poleni kwa janga hili linalotukabili. Mm ni jinsia ME, Umri wangu miaka 29, mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni Shahada. Najishughurisha na ujasiriamali. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, natafuta mke wa kuoa, awe daktari/au anaefanya kazi kwenye medical field (sio nursing) mwembamba Miaka hadi 28 Awe anakaa na ni raia wa TZ Asiwe mke wa mtu au asiwe na mtoto au aliewahi...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu. Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani. Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa Mtu mzima mwanaume mwenye makamo ya miaka 50+ anahitaji msichana umri 21-27 kwa mahusiano ya kudumu. Vigezo vya muhimu uwe Dar es Salaam, elimu ya kidato cha 4 kushuka chini...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 27 natafuta girl awe na umri kuanzia miaka 21-24 awe mkristo nipo serious akiwa Kanda ya Ziwa itapendeza sana
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi sio malaya ila natafuta rafiki ambaye atanipa kampani ya kuchart kuongea na kushauriana kukutana na kuongea tu sio kingine kama uko serious ni contact ila uwe Arusha
8 Reactions
91 Replies
9K Views
Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni kijana umri wangu ni miaka 36, nipo mkoani. Leo hii nimejitokeza kwenu ntafuta mke na sio mchimba sababu nipo tayari kufunga nae ndoa mara...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha...
29 Reactions
172 Replies
17K Views
  • Closed
Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi. Wasifu. Ni mama wa mtoto mmoja. Naishi Dar es salaam. Elimu yangu chuo...
12 Reactions
375 Replies
47K Views
Habari, Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30. Ni mwajiriwa na nina elimu kiasi. Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili. Ninayemuhitaji; Awe mkristo Awe matured Man mwenye kujitambua. Awe...
16 Reactions
224 Replies
24K Views
Habari Mdada wa miaka 31, natafuta mkaka ambaye atakuwa tayari kuwa mume. Vigezo: mstarabu, mchapakazi. mbaye pia sio HIV+ anakaribishwa.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari, Natafuta mume muislam aliye na hofu na Mungu. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea awe mkoani kilimanjaro au Arusha. Nina miaka 28 na nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa. Shukrani
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Hello everyone, This is to inform you that there exists a vacancy for a young beautiful lady who is looking, willing and committed to settle down and begin a family. I am a young Christian man...
20 Reactions
346 Replies
23K Views
Back
Top Bottom