Natafuta mke, nina miaka 26

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
402
539
Ni kijana mwenye miaka 26.Elimu nilifika fika chuo lakini sikufanyikiwa kumaliza.Lakini haikunizuia kuweza kutimiza malengo yangu kwani nilipambana na kujiajiri mwenyewe.

Sasa wazazi baada ya kuona kipato changu kinaridhisha wamenishauri nitafute mke nioe.nataka mtu aliyetulia asiyependa makuu mwenye spirit ya kumpabana kama mimi.

Ahsanteni
 
Basi na me namshauri Sasa, je wewe unamshauri Nini mkuu
Mimi na mshauri afanye kitu roho inapenda na pia huyo anaetaka kumuoa kwa Sasa ni vyema apate mda wakusomana maana ni Kama anaharaka Sana .
 
Una Miaka 26 unashindwa kushinda mechi bila msaada wa refa(JamiiForums),sasa ukifika 50's itakuaje aisee mkwamisi?wazungu walitufanya tuone jando na unyago ni upuuzi na sisi tukawaamin ila sasa naona tumeanza kulipia kwa upuuzi wet
Asbh njema
Dunia Imebadilika sasa inabidi kuenda sambamba na uhalisia uliyopo.Refa(jamii forums) Ana nafasi yake katika utandawazi.
 
mzee kwa hyo unatumia akili za wazazi wako lakn ww unatembea tu na kichwa kukamilisha umbo la mwili
Tumeambiwa katika kitabu takatifu kwamba "tuwaheshimu wazazi wengi ili tupate kuishi miaka mingi duniani" Mara nyingi watu waliokutangulia huwa na busara na maono.Ni vyema kukaribisha mawazo yao.
 
Back
Top Bottom