Nahitaji Mwanamke ambaye atakuwa mke wangu

May 20, 2020
33
26
Sihitaji Mambo Mengi Mimi Ila ninacho hitaji Ni Mwanamke ambaye atakuwa mke wangu.
Mpaka nafikia hatua ya kumtafuta huku it means that Niko Serious na ninauwezo wa kumuhudumia na kumtunza.

Sibagui,dini,Kabila,destuli Wala Mila wewe Kama Ni Muhitaji njoo fasta.

Mimi:-
Nina miaka 33
Naishi Dar Es Salaam
Ni mfanya biashara

Waweza pia nicheki kwa namba 0716283823

KARIBU SANA UPATE STARA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwee hakuna aliyechangia??
Brother jaribu kuweka hata vigezo..
Ina maana wewe unataka yeyote??bila hivyo hawatakuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom