Serious Relationship (Mke anahitajika)

Baredo

Member
Aug 3, 2020
8
7
Habari wanajukwaa...

Najitokeza jukwaani kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.

Wasifu wangu
Umri: miaka 30+
Dini: Mkristo RC
Elimu: Bachelor's Degree
Kazi: Nimejiajiri
Makazi: Dar es Salaam
Umbo: Mrefu futi 6.5,mwili wastani
Rangi:Maji ya kunde

Wasifu wa mke nimtakaye
Umri:miaka 23-30
Elimu :Kuanzia Kidato cha Nne
Dini: Mkristo
Kazi: Aliyeajiriwa/Kujiajiri au hata kama bado hajafanikiwa ajira.
Makazi: Dar es Salaam au popote Tanzania lkn awe tayari kuishi Dar
Umbo: Awe mrefu kiasi na mwenye mwili wa wastani(asiwe mnene)
Rangi:Yoyote

NB: Asiwe na mtoto

Kwa yeyote aliye-serious namkaribisha kwa pm.
Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom