Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
  • Closed
Mimi ni mwanamke miaka 39, naishi Mwanza na Elimu yangu ni Postgraduate nimeajiriwa. Sijawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye Forum kama hivi ila ni maisha. Wahenga walisema kosea...
16 Reactions
80 Replies
11K Views
Nmechoka na drama za mabinti wa mjini ndio maana nnataka Mwanamke mtu mzima sana umri kuanzia miaka 50 na kuendelea Uwe upo Dar Dini mkristo Uwe mkarimu na Mcheshi Uwe tayar kupima magonjwa yote...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mtu wa umbo la wastani, niliyebahatika kuishi na mwanamke kijumba na kufanikiwa kupata watoto 2, nimebahatika kujenga nae kibanda na kuwa na kausafiri ka familia. Kwa visa vya mama huyu...
12 Reactions
85 Replies
14K Views
Naelekea kufanikiwa katika juhudi zangu za kuacha uzinzi na kufanikiwa kubaki njia kuu (alhamdu lillaah) Lakini kwakuwa dini yangu imeniruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, nikaona si vibaya kuongeza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wandugu. Mimi ni mkazi wa Dar maeneo ya Kigamboni. Natafuta mdada umri wowote wa kuishi naye kusaidiana kimaisha. Hatahusika suala la kodi. Naishi chumba kimoja. Masuala ya kula ni juu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahani Jamani ila nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni rafiki yangu,ila cha kushangaza biti...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarai wana jamii , kuna rafiki yangu , alinipa kazi ya kuwa mshenga ,( kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi wa binti) mm nikakubali nikaandika barua na ikapangwa siku ya kupeka, ilipofika cku ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Jina langu ni Gasper umri wangu ni miaka 33, natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto ,nitamtunza na kumtimizia mahitaji ya yote ya msingi anayo pata mwanamke.Umri wake uanzie miaka 27...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Dodoma mjini. Nina shahada ya kwanza ya ualimu ila sijabahatika kuajiriwa. Natafuta mwanamke wa kuishi naye maisha ya ndoa awe...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Any interested lady Pm.. Gentleman Pirate Umri: 28 Dini: muislamu,mkristo Sifa: mcheshi Kazi: askari Elimu: mhandisi Mkoa: Arusha,Manyara Mwanamke Anayejielewa na kujua anachofanya Umri wowote...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wanazengo... Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 Najishungulisha na biashara kwa sehemu kubwa ya maisha yangu, Natafuta mke, umri kuanzia 25 na kuendelea... Kabila siyo kikwazo kwangu...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa 31.muhitimu wa shahada ya fedha na bank pale chuo cha usimamizi wa fedha IFM miaka kadhaa iliyopita kwa sasa ni mwajiriwa wa tasisi moja ya fedha hapa mjini DSM.Nina...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu hili swali sijawauliza ninyi ila nimejiuliza mwenyewe sijapata jawabu mnaweza kunisadia. Huyu ni mwanamke rafiki ake na mpenzi wangu wa zamani ,anajuwa nilivo kuwa na care rafiki yake sema...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
umri:24 kazi:dereva piki piki,gari na bajaji kabila:mchaga elimu:4m4 wasifu:mnene kiasi mbavu, rangi:metailk black. dini:muislam nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
WanaJF Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi. Awe mnene Awe anavutia Awe rangi yoyote. Asizidi 35. Asiwe na magonjwa yaambukiazo (clean)...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, naomba kuleta ombi langu kwenu. Kama utangulizi ulivyo. Sifa zangu Nina miaka 30 Dini: mkristo Elimu: Shahada Kazi : Nimeajiriwa Rangi: mweusi Urefu: Mrefu wastani Mwili...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza. Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo Awe...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za jumatatu ya mwisho wa mwezi wana JF. Pole na pilika pilika za jumamosi na juamapili. Nisiwachoshe sana wana jf. Natafuta rafiki wa kike awe na umri wowote kuanzi miaka 20 na...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom