Natafuta rafiki akidevelop awe mchumba then mke sifa ziwe hizi hapa
Awe mkristo mimi ni roman
Awe msukuma au mnyamwez kama mimi
Awe na miaka chini ya 27 mimi nina 30
Awe tayar kupima H.I.V...
Natafuta mchumba, sifa awe Na miaka 23-30. Awe mwe usi au maji ya kunde, dini yoyote, awe mrefu wa wastan, awe Na wembamba usio Na mashaka, awe Na chura wa kawaida tu. Tabia iwe njema Na...
I am Looking for a Single Mother who will be ready to be my future wife. I am also a Single father 34 of age, well educated and self employed. A single mother should have at least 25 - 30 of age...
Hi guys ni matumaini yangu mko poa
Nimerudi tena hapa love connect,nataka kushare na wengi au wachache wenye kupenda maisha ya wengine
Kwa kipindi chote tokea nitoe tangazo hapa.Nimekuwa...
Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu...
Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Aliye tayari...
Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother.
Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!.
Kama ni mtu kujiaminisha kuwa...
Mimi ni kijana wa kiume, 27yrs mkazi wa DSM. Natafuta mchumba wa kike umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Mimi ni mkristo tena...
Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa ambaye natafuta mchumba ambaye tukikubariana ndio ataekuwa mke wangu ili nimuoe kiukweli sina vigezo vingi ila viwili tu vinatosha 1)awe mweupe na 2)awe muislamu...
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,
Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao...
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo...
Habari Wana jf, naitwa Alfred umri 34 toka Uvinza, elimu yangu diploma na mfanyakazi katika shirika linajihusisha na huduma za kijamii, najitokeza kutafuta mchumba ambaye kama Mungu atapendeza...
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito...
Habari!!
KWA HESHIMA KUBWA NAPENDA KUWEKA MAOMBI YANGU HAPA KWA AJILI YA KUTAFUTA MKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI
NINA NIA YA DHATI NA UKWELI KUTOKA MOYONI NAITAJI MKE WA AINA HII...
Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa...
Wakuu habarini za asubuhi,
Leo ikiwa ni siku ya saba tangu nianze nilikizo nimejikuta kumisi sana mwanamke maalum wa kumbembeleza na kumjali, kutania na kufurahi pamoja, wakua nae katika hali...
Natafuta msichana tukielewana na kuridhiana tunaoana, umri kuanzia miaka 22 - 30 dini mkristo mkatoliki ambaye hajazaa ila asiwe mhaya, elimu yoyote kama kaajiriwa au kajiajiri mwenyewe poa. Kama...
Wakuu,
Kuna mtakaodhani natania au mtanitukana. Lakini heri nitangaze nia ili uwezo wa siri nilionao unisaidie wakati huu ninapoendelea kutafuta ajira.
Mimi ni Mtaalamu wa Massage & SPA, hoteli...
Sifa zangu-nina mtoto 1,mrefu sana nakaribia ft 6,mweusi,mfanyabiashara mdogo,miaka yangu 40, mkristo,elimu chuo.
Sifa za mke
Awe mkristo,rangi ya asili,miaka 30-40,elimu kuanzia kidato cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.