Ninatafuta mwanamke mtu mzima sana 50+

presider

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
812
1,000
Nmechoka na drama za mabinti wa mjini ndio maana nnataka Mwanamke mtu mzima sana umri kuanzia miaka 50 na kuendelea
Uwe upo Dar
Dini mkristo
Uwe mkarimu na Mcheshi
Uwe tayar kupima magonjwa yote ya zinaa.
Uwe na shape nzur na kalio kubwa
Uwe tayar kwa Mauhusiano ya kudumu
Sifa zangu
Mimi n kijana wa 35
Npo dar
Mimi n mfanyabiashara na mpambanaji sana wa kutafuta Maisha.
 
Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
798

Aya kaka wanakuja
 
geniusMe

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
1,283
2,000
Nmechoka na drama za mabinti wa mjini ndio maana nnataka Mwanamke mtu mzima sana umri kuanzia miaka 50 na kuendelea
Uwe upo Dar
Dini mkristo
Uwe mkarimu na Mcheshi
Uwe tayar kupima magonjwa yote ya zinaa.
Uwe na shape nzur na kalio kubwa
Uwe tayar kwa Mauhusiano ya kudumu
Sifa zangu
Mimi n kijana wa 35
Npo dar
Mimi n mfanyabiashara na mpambanaji sana wa kutafuta Maisha.
50+ useme unatafuta mwanamke wa kumzika tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom