Natafuta mwanamke wa kuzaa naye Mtoto nitamtimizia mahitaji yote ya msingi anayo paswa kutimiziwa

Mashine1908

New Member
Jan 28, 2018
3
3
Jina langu ni Gasper umri wangu ni miaka 33, natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto ,nitamtunza na kumtimizia mahitaji ya yote ya msingi anayo pata mwanamke.Umri wake uanzie miaka 27 nakuendela.atayekua tyr ani pm ili tuyajenge.sipaswi kukosolewa kwan kila mtu anahaki ya kufanya kitu ambacho anajiskia.
 
....sipaswi kukosolewa kwan kila mtu anahaki ya kufanya kitu ambacho anajiskia

Angalia vizuri nati zako! Cc: D. Trump
 
Sasa wa hovyo namna hiyo unafikiri ataweza kukulelea mtoto ataweza kweli?
Mama kwa style hiyo atakaye kubali hivyo labda kahaba msaka tonge.
 
Jina langu ni Gasper umri wangu ni miaka 33, natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto ,nitamtunza na kumtimizia mahitaji ya yote ya msingi anayo pata mwanamke.Umri wake uanzie miaka 27 nakuendela.atayekua tyr ani pm ili tuyajenge.sipaswi kukosolewa kwan kila mtu anahaki ya kufanya kitu ambacho anajiskia.

Wanawake wa aina hii Mkuu nenda kimboka au kwa wahaya utawapata hao wako very easy kuwapata

Lakini mwanamke ambae amelelewa na wazazi wake mwenye malengo yake ktk maisha hawezi kukubali huo ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom