Natafuta mpenzi

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
241
701
Kama unamakasiriko usije hapa. Sitaki ushauri, Majukwa ya maadili na ibada yapo. Usinifundishe namna ya kubehave najielewa vyema.

Ukinitukana nakuloga. Sasa skia.....Uhamisho wa kikazi unasumbua sana. We fikiria Mke yuko Geita kikazi na mumewe yuko Namtumbo Songea mwaka wa 5 na uhamisho umekuwa kizungumkuti na majaribu ya kuangukia kwenye mitihani ni kubwa sana.

Kwa maana hiyo natafuta Mpenzi ambaye ana mpenzi wake ila yuko mbali kama mimi ili tupeane lift wakati huu wa kipindi cha mpito. Niko serious na nahitaji bibie anaye jiheshimu na awe serious na awe amampenda mwenzi wake na kumheshimu kama mimi ninavyofanya.

Jambo la msingi ni HIV test lakini pia matumizi sahihi ya Condom Baadhi ya faida itakuwa pamoja na kusaidiana kwa hali na mali. My age is 30+ njoo tuyajenge. Angalizo hakuna kunogewa. Ukipendezwa njoo tuyajenge na kila kitu ni SIRI.
 
Mwadilifu Mdhulumiwa

JF-Expert Member
Jul 22, 2021
412
607
Umechoka kupiga nyeto eeh! Haya kumbuka hata mbuyu huanza kama mchicha! Huyo unaemtafuta ndiye atakayemrithi mkeo, yaani utamsahau kabisa labda bimdada asiwe fundi!
Hapo ungetangaza kubadilishana kabisa!
 
Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
514
97
Kama unamakasiriko usije hapa. Sitaki ushauri, Majukwa ya maadili na ibada yapo. Usinifundishe namna ya kubehave najielewa vyema.

Ukinitukana nakuloga. Sasa skia.....Uhamisho wa kikazi unasumbua sana. We fikiria Mke yuko Geita kikazi na mumewe yuko Namtumbo Songea mwaka wa 5 na uhamisho umekuwa kizungumkuti na majaribu ya kuangukia kwenye mitihani ni kubwa sana.

Kwa maana hiyo natafuta Mpenzi ambaye ana mpenzi wake ila yuko mbali kama mimi ili tupeane lift wakati huu wa kipindi cha mpito. Niko serious na nahitaji bibie anaye jiheshimu na awe serious na awe amampenda mwenzi wake na kumheshimu kama mimi ninavyofanya.

Jambo la msingi ni HIV test lakini pia matumizi sahihi ya Condom Baadhi ya faida itakuwa pamoja na kusaidiana kwa hali na mali. My age is 30+ njoo tuyajenge. Angalizo hakuna kunogewa. Ukipendezwa njoo tuyajenge na kila kitu ni SIRI.
Njoo tupe Mrejesho. Usaili ulikuwaje katika harakati za kutafuta hii Lift? Miaka 6 Sasa, Mlipata watoto? Tupe bwana mrejesho.
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
5,293
18,947
Eti bibie anaejiheshimu, binti anayejiheshimu unampataje sasa na mtu ana mumewe? Aliyekwambia wanaojiheshimu wanaoandaga hizo lift nani?

Mke wa mtu anayejiheshimu kamwe hawezi fanya huo ujinga hata kama mumewe yuko mbali. Ukiona mwanamke anafanya hayo HAJIHESHIMU FULL STOP!
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom