Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo,mwanaume mwenye elimu kuanzia seco na kuendelea,awe na kazi,awe na tatizo la kukojoa kitandani bila kukusudia(kikojozi)anikubali na mapenzi ya dhati bila...
Kila kitu kina hitaji backup hapa duniani kama ilivyo gari na spearwheel hali kadhalika ktk mapenzi kuwa na spea tairi ni muhimu....so kwa mdada, mmama au mlimbwende mwenye kuhitaji spea tairi...
kwa sasa nahitaji an online girl friend ...ambaye atakua tayari ku-act as physical one tuwapo hewani ...na hatimaye ataweza kuwa an online wife. very interesting game! ...any girl interested...
Hi there...!
nahitji binti mzuri wa kuzugia, tukiendana anaweza kupata bahati ya kuolewa nami. I cant speak of marriage right now coz I do believe that this wil be the output of what we gonna buld...
Kabla haujaoa angalia aina za wake ili usije ukawa kama jirani yangu mmoja hapa, jina nimeliifadhi, kwaka ni kama kwa MAYENJE! Pia nampa pole yule jamaa aliyemkimbia demu wake kwa kuwa na kipato...
Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.
habari zenu humu..
wiki kadhaa zilipitia kuna dada mmoja alikuwa anatafuta wanajamii wanao ishi arusha...sasa natafuta ile post sijaipata nilikuwa naomba msaada ili nipate username yake na...
Habari zenu wakuu! Baada ya kuzitafakari changamoto zinazoendana na mademu wakali, nimeamua nijivue gamba. Mademu wote wazuri niliopata kuwa nao au kuwafatilia wote ni pasua kichwa>kuteseka...
Habarini wana JF, mimi ni kijana mwenye miaka 28, baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu atimaye nimeona bora nitafute mchumba jamani! Sifa zangu nitaelezea kidogo tu, ni mrefu, maji ya kunde na...
Ninahitaji kua na mwenza sasa
sifa:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
miguu ya bia
mweupe
wa tanga na zanzibar watapata kipaumbele cha 1
dini yoyote sio freemason tu
Wasifu wangu
rangi... mweusi
uzito....70kg
urefu...164cm
kazi.... bado sijapata
elimu.... ya chuo
umri 30yrs
wasifu wa gf ninayemtaka
ajue kufikilia, kutafakari na atambue zuri na baya
aamini...
mimi ni mvulana, mtanashati na mpenda maendeleo aged less than 28 yrs.
Natafuta msichana wa kutoka nae weekend tubadilishane mawazo juu ya maisha, awe
1.mcheshi
2.mwenye mipango na mikakati...
mimi ni kijana(ME) umri 23 nipo chuo mwaka wa 3 Bsc.IT natafuta wa ubavu ataye nipenda nami nitampenda daima then nipo tayari kuwa naye kiuchumba na mwishowe tufunge ndoa!! find me facebook edwin...
Habari zenu jf!mimi ni kijana wa miaka 29.natafuta rafiki wa kike wa kuwa karibu na mimi,mpaka 2funge ndoa.nafanya kazi..Mwenye sifa zifuatazo tuwasiliane kupitia jonathan@gmail.com
1.Mzuri...
Moyo wangu unagiza kuu
Ni mpweke sana sana...
Uko wape eh binti mwenye kujua mateso ya moyo mpweke?
Uko wape ehh binti ,wenye funguo ya kuutoa upweke wangu?
Njoo ee malaika,mrembo na ua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.