Natafuta mchumba

Dugo

New Member
Oct 18, 2011
4
0
Ni miaka 29 yakuzaliwa na nimuda muafaka wakupata mwenza wazee wamenipa fursa yakutafuta mchumba nimpendae lakini sijamuona natoa fursa hii kwenu wasomaji ambae aliyekuwa tayari tuwasiliane: masharti na vigezo kuzingatiwa. Awe na umri usiozidi miaka 25 , awe mrefu, mwembamba sibagui rangi wala kabila kwa upande wa dini lazima awe Muislam awe tjyari kuishi Z'bar piga no: 0777 600127 by.
 
Khaaa ! Inaonekana Zanzibar hakuna madem wakali kama huku Mbeya city, kama vp hamia kabisa huku broda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom