Searching for beautiful lady

MTOAHOJA

Member
Nov 28, 2011
37
3
Jamani natafuta mdada mzuri anayejiheshim na mchamungu, MY NO 0784 967080, i am living in dar!
 
Haya ndiyo matatizo yenu mnatoka face book,...anyway karibu kijana kutoka dar

na haya ndo matatizo ya kutoelewa maana ya mitandao ya kijamii!maaana yake ungeijua usingesema mambo ya face book na blog kama hizi, kila kitu kizuri au kibaya kulingana na matumizi yake brother, sidhani kama ni uhaini kutafuta mtu kwa njia hii, i mean it and i am really serious!
 
sidhani kama hapa utawapata
labda uendelee kusubiri kama kuna bahati yako lol
 
Posti na picha yako wakusome, usije kuwauzia mbuzi kwenye gunia! Siku hizi nasikia hata misukule nayo inachangia hoja hapa JF!
 
Kumbe that number is working!i have just called it and i heard it ringing!nway are you a girl or a boy?
 
Unafananaje?
Una umri gani?
Unafanya shughuli gani?
Ni handsome
Ana miaka 18
Yupo CBE mwaka wa kwanza
Hafanyi kazi anasoma ila baba yake ana mawe kishenzi
Nyumbani kwao kuna gari za kutembelea mbili na flat screen sebureni

Ni handsome
Ana miaka 18
Yupo CBE mwaka wa kwanza
Hafanyi kazi anasoma ila baba yake ana mawe kishenzi
Nyumbani kwao kuna gari za kutembelea mbili na flat screen sebureni

Hehehehe miaka 18 sina pa kumpelekeka.
Tv zinaumiza macho na mawe ya wazazi wake hayatanilipia kodi
.
 
na haya ndo matatizo ya kutoelewa maana ya mitandao ya kijamii!maaana yake ungeijua usingesema mambo ya face book na blog kama hizi, kila kitu kizuri au kibaya kulingana na matumizi yake brother, sidhani kama ni uhaini kutafuta mtu kwa njia hii, i mean it and i am really serious!
Yah unaonekana upo serious sana. Huyo hajui kazi ya blog kama jamii forum na Forum kama ya Issa michuzi
 
Ni handsome
Ana miaka 18
Yupo CBE mwaka wa kwanza
Hafanyi kazi anasoma ila baba yake ana mawe kishenzi
Nyumbani kwao kuna gari za kutembelea mbili na flat screen sebureni

jamani hizi sio info zangu, nimesema kwa mtu yoyote aliye interested please call mi, i am real need a girl, kuna aliyebip namba inaishia 43,hiyo ni kweli namba yangu jamani!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom