Mchumba anatakiwa

SWEET GIRL

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
520
377
Salaam wandugu,
nina shosti wangu ambae anatafuta mchumba/mume.alikuwa masomoni kwa kipindi kirefu na amejikuta amemalizia muda wake mwingi masomoni na umri ukiwa umeenda sana.anapendelea mwanamme mtu mzima kidogo umri kuanzia miaka 35-40.awe mkristo,na elimu ya kawaida tu.la muhim pia awe mtanzania.mambo mengine mtawasiliana kikubwa awe sirias.
vigezo na masharti kuzingatiwa kama uko interested basi ni-pm kwa maelezo zaidi.
thanx
 
Yeye ana umri gani, hii inaweza kumfanya mwenye hiyo miaka uliyotaja akaamua vema, nway, naiman atafanikiwa
 
Weka kidogo hata wasifu wake wa nje mfano:-
Umri
Urefu-
Kilo-( ili apate chaguo lake maana wapo wanaopenda wanene pia wapo wanaopenda wembamba au mwili wa kawaida)
Rangi ( sie wengine twatoka bara huko rangi ni deal)
Ana watoto au hana( ili mtu ajipange kwa kulea

Asante!
 
nani umri umeenda yeye au yule aliyekwenda masomoni kwanza huyu anaonekana hana mapenzi ya kweli
 
Weka kidogo hata wasifu wake wa nje mfano:-
Umri
Urefu-
Kilo-( ili apate chaguo lake maana wapo wanaopenda wanene pia wapo wanaopenda wembamba au mwili wa kawaida)
Rangi ( sie wengine twatoka bara huko rangi ni deal)
Ana watoto au hana( ili mtu ajipange kwa kulea

Asante!

Kabisa ebu mwambie afanye hivyo,vp muonekano wake ni wa kiutuuzima au ki-young?
 
Inakuaje hadi ailete humu kama kweli yupo serious?
Salaam wandugu,
nina shosti wangu ambae anatafuta mchumba/mume.alikuwa masomoni kwa kipindi kirefu na amejikuta amemalizia muda wake mwingi masomoni na umri ukiwa umeenda sana.anapendelea mwanamme mtu mzima kidogo umri kuanzia miaka 35-40.awe mkristo,na elimu ya kawaida tu.la muhim pia awe mtanzania.mambo mengine mtawasiliana kikubwa awe sirias.
vigezo na masharti kuzingatiwa kama uko interested basi ni-pm kwa maelezo zaidi.
thanx
 
salaam wandugu,
nina shosti wangu ambae anatafuta mchumba/mume.alikuwa masomoni kwa kipindi kirefu na amejikuta amemalizia muda wake mwingi masomoni na umri ukiwa umeenda sana.anapendelea mwanamme mtu mzima kidogo umri kuanzia miaka 35-40.awe mkristo,na elimu ya kawaida tu.la muhim pia awe mtanzania.mambo mengine mtawasiliana kikubwa awe sirias.
Vigezo na masharti kuzingatiwa kama uko interested basi ni-pm kwa maelezo zaidi.
Thanx

hapo kwenye red zinahusianaje? Yeye kasoma sana halafu elimu kidogo? Kidogo ndiyo std 7, form 4, form 6, diploma, bachelor, au?
 
Kwani ukisema ni wewe mwenyewe tatizo ni nini? Mbona wapo waliopata wapenzi hapahapa kitaani kila siku ni story za "rafiki yangu" haya all da best Mama, ila la muhimu MSHIRIKISHE SANA SIR GOD!!! Si unajua yeye ndio muweza wa kila kitu? Thanks, waweza ni-PM kuna Mwalimu wa primary school anatafuta binti!(it is serious) sipo kwa ajili ya joking!!!
 
Weka kidogo hata wasifu wake wa nje mfano:-
Umri
Urefu-
Kilo-( ili apate chaguo lake maana wapo wanaopenda wanene pia wapo wanaopenda wembamba au mwili wa kawaida)
Rangi ( sie wengine twatoka bara huko rangi ni deal)
Ana watoto au hana( ili mtu ajipange kwa kulea

Asante!

Kama we ni mnyantuzu mwanawane najua unapenda weupe yaani wape zigi okubh'a nolo mgiti.
 
mwambie aendelee kusoma hadi kwani elimu haina mwisho,mkiambiwa andaeni wenzenu mapema utaskia ooouh si tupo buz na shule ona sasa utaolewa na vitabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom