Serious: Natafuta mke, awe mwanajeshi mrembo!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Mi ni raia wa kawaida! Nina ndoto ya siku nyingi kuja kuoa mwanamke ambaye ni mwanajeshi. Umri wake usizidi miaka 26, awe tayari kuwa mke mwenye maadili ya kitanzania.
Habari za sifa sifa na amri za kina waitara, mwita chacha au marwa sizitaki.
Elimu iwe kuanzia kidato cha sita, hapo najua kidogo utakuwa ni open minded.
Aliye serious naomba ani pm ili tuanze kufahamiana. Asanteni
 
KAKA NAKUTAKIA BHATI NJEMA , KWANI KILA SIKU HUJIULIZA HIVI KUNA ASKARI JESHI KIKE WA TANZANIA AMBAYE MZURI ??? KWA VILE NILIKUWA NAINGIA SANA PALE LUGALO SIJAWAHI KUONA WA KUNIPENDEZA , KUMBE NILIKUWA KIPOFU LAKINI HIVI MAJUZI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 GWARIDE LAO LILIKUWA NA UCHAGUZI MZURI , NIKADOKEZWA NI KUTOKA KAMBI YA MUNDULI KWA USHAURI WANGU ITABIDI UKABANDIKE TANGAZO LAKO KWENYE NOTISI BODI YA MUNDULI CAMP , HAWA WANAJESHI SIO WENGI WANA NAFASI YA KUINGIA KWENYE MTANDAO WA INTERNATE goog luck
 
Ukimuona mwanajeshi mrembo uwe makini, unaweza ukaanzisha timbwili na mkuu wa kambi. Vinginevyo uwe tayari ku-share.
 
mimi niko tayari kabisa....tena niko kwenye kikosi cha maguruneti.....wallah nakwambia huwezi amini.....
 
Ukimuona mwanajeshi mrembo uwe makini, unaweza ukaanzisha timbwili na mkuu wa kambi. Vinginevyo uwe tayari ku-share.

Anafanya masihara huyo! Kwanza ukioa mke mrembo tu ukiishi karibu na kambi ya wajeshi ni ishu!
 
Mi mwanajeshi, mrembo wa nguvu tatizo miguu ina vigimbi. Vipi utanifikiria?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwanajeshi aleyemaliza form six wa maiaka 26 hawezi kuwa due kuolewa. Wakiingia jeshini huwa wanakaa miaka 6 bila ruhusa ya kuolewa.
 
hakuna mwanajeshi mwenye sifa unazozitaka wewe wengi wao wamekomaa na mazoezi misuli yao imekomaa halafu wanachukuana wao kwa wao ila uwe tayari kupigwa kwata maana akisha vaa lile gwanda sio mkeo huyo nia afisa wa jeshi unatoa heshima zote
 
mkuu hao watu inabd uwe na moyo!anakupiga kamba yupo guard usiku,kumbe yupo anakula kuku!ww umejifungia ndani unabembeleza watoto walale!kumbuka issue ya somebody Fundikira aliuwawa na wajeshi,ukishaijua ndio utajua kama kuoa mjeda ni deal au ni soo
 
Mi ni komandoo mrembo uwe tayari na kroo za majini na kwenye wire.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom