Kama huwez danganya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama huwez danganya

Discussion in 'Love Connect' started by 2k Genius, Dec 24, 2011.

 1. 2k Genius

  2k Genius Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari,
  im calvin..aged 23 frm dar..kitaaluma mi ni mwalimu..nahitaji msichana mzuri na mkeli,ambae ataniweka waz kila ki2,ambaye hapend uongo,co mwenye fikra potofu..ambaye atanipenda jinsi nilivyo..kiukwel adui yangu mkubwa ni uongo na huwa nashindwa kustahimil m2 akinidanganya..hvo kama uko alright with dat...niPM nitakupa mawasiliano zaidi.
  Thanx
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwalimu mzima unachanganya namba na herufi?
  Na wanafunzi wako unawafundisha lugha ya sms?
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ndio maana wanafunzi wanafeli
   
 4. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  We mwenyewe muongo halafu hutaki muongo unachekesha!!!!!!
   
Loading...