Ninatafuta!!

Dec 22, 2011
26
1
kakaz mi ni mdada wa kawaida tu ila ukishaniona utadhani mi wa ajabu, na natafuta marafiki wa jinsia ya kiume wa kuanzia miaka 31 na kuendelea....! sana sana wafanyabiashara na ambao wanaweza kuni inspire nifanye kazi zangu maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja hivi.so interested....lay yo numeros basi tuanze urafiki... sio uhusiano wa kimapenzi tafadhalini.

shukran!
 
huku wanapenda tu urafiki wa kimalavidavi nilishatafuta rafiki wa kawaida hawataki
 
Wewe bora utafute wale chini ya 30 mana wa 31+ watakuwa na experiance za kuiba-na hauta pata kitu.
 
ndio nataka nichanganye biashara...mi mwenyewe mdada wa mtu.. eh basi naona nimeweka kikwazo, basi hata wale waajiriwa na waajiri mnaweza tuma....nipo banaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom