seriously

KELLYN

Member
Jul 5, 2012
25
5
wanajamii mimi ninarafiki yangu ambaye ni mwathirika wa HIV anatafuta mchumba wa kumuoa mwenyetatizo kama lake yeye anafanya kazi inayomwingizia kipato kiasi na ni msomi, so sad co hakupenda kuwa hivyo ambaye yupo ready awe na sifa zifuatazo
1. msomi degree level
2.anafanya kazi
3.asiwe na mtoto
4 si mnene sana
5.mrefu wa size sio mfupi

please wanajamii kama yupo mwenye hilo tatizo na hizo sifa ajitokeze
 
wewe mwenyewe unatafuta, pia unamtafutia na mwingine...duuuuuuuuuuuuu!
all the best
 
Kwa nini akutume usemee, ni wewe unatafuta. Naamini utafanikiwa kwa vigezo ulivyotaka, kila la heri.
 
Wako tayari ushampata umegeuka dalali!!!!!!!!!!
Maana umekuja na thread ya kutafuta mchumba na sasa umekuja na hii tena, acha utoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom