Ibrashinto
Senior Member
- Jul 3, 2012
- 123
- 6
Eti nimetafuta mpenzi apa Jf moja kati ya sifa nilitaka awe single kuna jamaa akansema kumpata single ktk dunia hii labda usubirie anaezaliwa leo! Kama ndo hvyo basi tubanane umo umo kwa wake za watu??? Au nifanyeje wakuu wa idala mmmmh!!!