natafuta mpenzi [msichana] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mpenzi [msichana]

Discussion in 'Love Connect' started by meba, Sep 8, 2012.

 1. meba

  meba Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 natafuta mpenzi wa kumuoa kwa baadae kama atakuwa na tabia nzuri kam upo tayari piga namba 0656179600 jua kuwa namaanisha. maana niliwahi kuandika lakini kuna watu wanatania so be serius
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Usife moyo ndugu.....
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,184
  Likes Received: 12,894
  Trophy Points: 280
  utawaweza hawa wa kwenye mitandao? keep it up
   
 4. l

  leloson Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una gari? kama huna jipange!!!!
   
 5. l

  leloson Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  its better ukaenda fb, kule ndio kuna mashuke wenzako, wapo kibao, this isnt a right place.
   
 6. byembalilwa

  byembalilwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,538
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  safi sana hapa kuna house girl we2 nae juzi kanambia nimsaidie kumtaftia mme maadam umefunguka nitajaribu kumpa namba yako ili muwasiliane ila yeye anayemhitaji awe na sifa zifuatazo ..elimu chuo kikuu 2.kazi gari ya kitmbelea mrefu na asiwe mweusi sana.
   
Loading...