moyo u mpweke ..................

b2k

Member
Apr 11, 2012
89
52
habari zenu wanajamvi.
Mimi ni binti wa kike, ambaye moyo wangu u mpweke. kwamara ya kwanza najitokeza jamvini kumtafuta rafiki wa kiume mwenye nia ya dhati ya kuwa na mahusiano ambayo yatalenga kuja kuwa wachumba na hatimaye mume na mke. Kujitokeza kwangu hapa ni kwakua ninaimani na jamvi hili kwamba naweza kumpata GT wa ukweli.
wasifu wangu wa ndani na nje ni kama ifuatavyo.
wasifu wa ndani:-
mtaratibu sana, mwenye huruma, nina nidhamu, siyo mtu wa maneno mengi wala sipendi malumbano, mcha mungu, nina kiasi,ni mstahimilivu na mkarimu.

wasifu wa nje:-

mrefu cm 156, mwembamba kiasi, low cut, natural black, sipend kujipamba kwa mwonekano wavitu vya nje,nadhifu sana, ninajitegemea kimaisha na pia ni leftee.

sifa nyinginezo:-
umri-28 yrs
kazi- mwanajeshi cheo LT
elimu- BAGEN & PGDLP
Dini- mkristo
kabila- chagga(machame)

sifa za mwanaume:-
umri- 30-35 yrs
kazi- yeyote ila awe raia
elimu- degree itapewa kipaumbele
dini- mkristo
kabila-lolote lile.

sifa nyinginezo za mwanaume:-
awe raia ( asiwe mjeda hii ni msisitizo), awe mwenye moyo wa upendo wa hati na ambaye atakubali kunifundisha juu ya kufanya tendo la ndoa. Ila pia ajue hatutafanya tendo la ndoa hadi tufunge ndoa, na binafsi sijawah kufanya kabisa.

Nb- tuwasiliane kupitia pm na pia hatutatumiana picha katika hatua za awali, baada ya kuridhika katika pm ndipo njia nyingine kama email zitafuata na hata kupanga kuonana kwa macho.
 
nimependa uandish wako sana b2k. hadi ietamani kama ningekuwa na kaka.je naruhusiwa kukutongozea? yaani kam nina kaka anayetaka mke?
 
Last edited by a moderator:
Utanitaka mie? Sifa zangu
1. Nina miaka 62 (retired but not tired)
2. Sijawahi kuoa ila nina watoto 5 ( mama tofauti)
3. Ninafanya kazi katika chuo kikuu kimoja dar (kwa contract) kwa mhadhiri msaidizi ( assisstant lecturer)
4. Nina nyumba moja (kigamboni) na nina usafiri wangu binafsi
Nipo tayari kufuata masharti km utasema yes.........
 
  • Thanks
Reactions: b2k
kheee? hakuna kutumiana picha hatua za awali kisa? jamani mi naogopa wanawake wajeda, maana ukimtibua utakurukisha kichura huyo mpk ukome... mimi nitulie tu na mamaa charminglady wangu
 
Nina vigezo vyote, ni-pm tuendelee.
 
nakushukuru sana hata kwa kupost haya. Binafsi wewe sitakuweza kwani umri umekwenda sana na hao watoto uliozaa wanatosha kabisa. mimi sina nyumba wala gari lakin siyo vigezo vyangu kwa sasa.
 
kheee? hakuna kutumiana picha hatua za awali kisa? jamani mi naogopa wanawake wajeda, maana ukimtibua utakurukisha kichura huyo mpk ukome... mimi nitulie tu na mamaa charminglady wangu

mimi ndo maana nataka raia ili ujeda wanu uishie kazini nikirudi nyumbani niwe raiatu kama mume wangu. picha kwangu hazina maana manake simkubali mtu kwa sura ya kwenye picha. nataka nimkubali kwa sura yake aliyonayo.
 
Utanitaka mie? Sifa zangu
1. Nina miaka 62 (retired but not tired)
2. Sijawahi kuoa ila nina watoto 5 ( mama tofauti)
3. Ninafanya kazi katika chuo kikuu kimoja dar (kwa contract) kwa mhadhiri msaidizi ( assisstant lecturer)
4. Nina nyumba moja (kigamboni) na nina usafiri wangu binafsi
Nipo tayari kufuata masharti km utasema yes.........

62 na 28 wapi na wapi jamani khaaa!
b2k all the best dearest!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: b2k
kheee? hakuna kutumiana picha hatua za awali kisa? jamani mi naogopa wanawake wajeda, maana ukimtibua utakurukisha kichura huyo mpk ukome... mimi nitulie tu na mamaa charminglady wangu

tulizana huz!
b2k kila la heri. . .
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: b2k
Hiv unaeza kupata mume/mke mwema humu mitandaoni?binafsi inakuwa ngumu kuamini bt kama ukifanikiwa u2pe feedbak labda na wengine watatumia njia kama yako kupata wenzi
 
  • Thanks
Reactions: b2k

Similar Discussions

Back
Top Bottom