Natafuta mwanamke anaeitaji mume

Mnyella

Member
Aug 8, 2012
43
6
Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 na kuendelea,kama unaitaji mume kwa ajili ya kuolewa tuwasiliane kwa email adres,mnyella@ovi.com
 
Kigezo ni umri tu? Looks like under 40 wamekudisappoint sana.

I like your style, maana sasa hivi wakaka wa 40s wanataka wadada wa early 20s na wadada wa 40s wanaishia kupata (sijui kama ndicho wanachotaka) wakaka wa 20s na labda early 30s.
 
Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 na kuendelea,kama unaitaji mume kwa ajili ya kuolewa tuwasiliane kwa email adres,mnyella@ovi.com
Mnyella, ni habari njema unatafuta mke!!! Kwa umri ulio nao hujawahi kuoa? Na kama bado kuna shida gani? Hii advertisement yako haijakaa sawa, weka basic information maana kwa umri wako mhhhhhhhh!!! Na huyo mke above 40 naye atakuwa single, au mjane au naye alikosa mume? Maana kwa umri huo kwa wanawake wengi ni ama wajane, ama wana watoto, ama walipata mikasa ya maisha na hawakupata waume, niseme pengine walipata bahati mbaya kupate hit and run!!! Jipange vizuri!!! All ze best!!!
 
Hapo kwenye red Mkubwa hakika humu jamvini rika hiyo ni adimu!
Lakini jaribu bahati yako!
Na ukimpata usisite kujutujuza!

Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,

natafuta mwanamke kuanzia miaka 40

na kuendelea,kama unaitaji mume kwa ajili ya kuolewa tuwasiliane kwa email adres,mnyella@ovi.com
 
Hapo kwenye red Mkubwa hakika humu jamvini rika hiyo ni adimu!
Lakini jaribu bahati yako!
Na ukimpata usisite kujutujuza!

Mkuu Liverpool,
Huwezi jua JF ina watu wa rika zote na 40 and above kwa wanawake yawezekana wapo ila tatizo haileweki kama wapo single na wanataka kuolewa!!! Umri huo unakuta wanawake wengi wameshajijenga hata kama hajaolewa!!! Je atakubali kuolewa!!! Hebu tusubiri na atupashe akipata!!!
 
Mkuu Liverpool,
Huwezi jua JF ina

watu wa rika zote na 40 and above

kwa wanawake yawezekana wapo ila tatizo haileweki kama wapo single na wanataka kuolewa!!! Umri huo unakuta wanawake wengi wameshajijenga hata kama hajaolewa!!! Je atakubali kuolewa!!! Hebu tusubiri na atupashe akipata!!!

Zogwale! Hakika tuna umri huu sana humu jamvini ila kwa wanawake Mi nina hofu hili rika ni adimu sana!
Lakini kwa mamen hakika wako na zaidi ya hapo hata!

Mi bado nina hofu na huyu member aliyebandika uzi huu kwnn naye kama hajaooaga mpk age aliyenaye!
 
Mkuu Mnyella, nakutakia heri, Mwenyezi Mungu atasaidia ufanikiwe katika suala lako la ndoa.
 
Zogwale! Hakika tuna umri huu sana humu jamvini ila kwa wanawake Mi nina hofu hili rika ni adimu sana!
Lakini kwa mamen hakika wako na zaidi ya hapo hata!

Mi bado nina hofu na huyu member aliyebandika uzi huu kwnn naye kama hajaooaga mpk age aliyenaye!

Sure, hata mimi nilitaka aseme niko single, au mtalaka, au mgani au vile na nina watoto kiasi fulani na vile. Lakini tu kusema eti yuko 43 na hasemi kwa nini hajaoa au hana mke!!! Mhhh ndo wale wanaume wa mitandaoni, mbuzi ndani ya gunia!!!! Nashauri aende facebook, wapo wamejaa!!!! Mke mwema hutoka kwa Mungu!!!
 
Nashauri aende facebook, wapo wamejaa!!!! Mke mwema hutoka kwa Mungu!!!

Haswaaaaaaaaaaaaa!

Lakini nina hofu wengi wao ni mchotara wa kizungu! Siyo black color kama tunavyowajua!!
 
Sasa kama wewe ni mseja au mjane (likely to be mjane) mkeo alikufa kwa sababu gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom