Kwanini sipati wangu?

Sukula

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
1,198
447
Nahitaji kuolewa,niwe na familia yangu nitulie kwangu lakin kila anaejitokeza anakuwa tayari ana mtu mwingine kitu ambacho mi sitaki,yaan nawaza mpaka ht nashindwa nifanyeje manake umri nao km unazidi kwenda,iam 25 now.
 
Miaka 25 mbona bado kabisa....wasiwasi wa nini? Vuta tu subira.

Ila pia wewe unapenda wanaume wa aina gani? Kwa burudani unapenda kufanya nini?
 
Nahitaji kuolewa,niwe na familia yangu nitulie kwangu lakin kila anaejitokeza anakuwa tayari ana mtu mwingine kitu ambacho mi sitaki,yaan nawaza mpaka ht nashindwa nifanyeje manake umri nao km unazidi kwenda,iam 25 now.

Sukula
Mbona 25 is a little on the too early to despair side? Usife moyo utapata tu :A S 465:!!!! Ila meanwhile maybe try to re-evaluate your selection reqs , as well as what you have been doing and/or not doing thus far in this quest uweze kujua whats missing!

PS
All the best, and may the good Lord bless you with your heart's desire!
 
Mambo mazuri hayaitaji haraka just kuwa na subira. Pia nikutahadharishe tu usijejishau ukamtafuta mwanaume kwa njia ya mtandao utakuja kujuta maishani mwako
 
Mambo mazuri hayaitaji haraka just kuwa na subira. Pia nikutahadharishe tu usijejishau ukamtafuta mwanaume kwa njia ya mtandao utakuja kujuta maishani mwako

Ushauri mzuri, nakubaliana na wewe mia,mia
 
Shosti mbona bado mdogo sana na unakata tamaa,wenzio wamekimbilia sasaivi wanajuta ntafurahi sana nikisikia una kimbilia
kusoma kuliko kuolewa,kuolewa kuna mengi usione watu wanacheka tuu kwenye harusi na kitchen party,mume anakazi kumtunza sio lele mama....
 
Nilishawahi kusema kwamba wanaume tupo kwenye mgomo wa kuoa kutakana na tabia zenu akina dada za KUOMBAOMBA.
Unamtogoza demu asubuhi, hata bado hamjajuana vizuri mchana anaanza kukulilia shida,
sasa najiuliza huyu mtu vp? kabla hatujajuana alikuwa hana shida iweje leo tumeanza uhusiano shida zinaanza kumwandama? basi itakuwa mi ninamkosi ktk maisha yake hivyo ni bora nimteme ili shida zake zimuishie.

VILEVILE NAPENDA KUWASHAURI DADA ZANGU, PENDENI KUJISHUGHULISHA KTK KUJIPATIA KIPATO, HUU SI WAKATI WA KUMTEGEMEA MWANAUME KAMA MKOMBOZI WA MAISHA YAKO.

MWANAMKE ASIYEJUA KUTAFUTA PESA HAFAI KUOLEWA KWANI ATAKUWA MZIGO KATIKA MAISHA. HUU NI WAKATI WA BABA ANALETA NA MAMA ANALETA, JIONI TUNAFUNGA HESABU, HIVYO NDIVYO MAENDELEO YANAVYOPATIKANA KTK FAMILIA.
SIO LEO NA KESHO MWANAUME NAKUFA, MWANAMKE HAJUI KUSIMAMIA MIRADI, ANAFILISI MIRADI YOTE COZ ANAJUA KUTUMIA TU, MWISHOWE ANAKIMBILIA KUOLEWA TENA.
 
tatizo we wakutana na waso kaz wala kutaka kujishughulisha pole weye
 
Miaka 25 tu.., mbona sio mingi mbona!!
Kwani wewe ulikuwa unataka kuolewa ukiwa miaka 18 au?
Kuna wadada wana 30+ na hawajaolewa (hawajapata wenza) sasa hao watasemaje?!
Kama ni muumini keep on praying kama si muumini endelea kuwinda!
 
Nahitaji kuolewa,niwe na familia yangu nitulie kwangu lakin kila anaejitokeza anakuwa tayari ana mtu mwingine kitu ambacho mi sitaki,yaan nawaza mpaka ht nashindwa nifanyeje manake umri nao km unazidi kwenda,iam 25 now.

tuwasiliane dada mi mwenyewe natafut mke ,contact me zacharia64@live.com
 
Tatizo nyie wanawake mnapenda ndoa na mnatangaza eti bila ndoa hutoi mzigo...nani anunue mbuzi kwenye gunia????acha watu wale "rubudani" then atakayenogewa atajitwika mzigo!
 
Kwakweli huna haja ya kulalamika bado umri wako mdogo sana kuna watu wana 37 bado hakieleweki nao wasemaje sasa?
Tulia muda upo utapata
 
Back
Top Bottom