kwa mwanake aliyeserious natafuta mke

kwa mwanake aliyeserious natafuta mke

Joined
Aug 20, 2012
Posts
7
Reaction score
1
wengi humu wanafanya mzaha,ila tafadhari huu siyo mzaa natafuta mchumba/mdada wa kikristo, anayempenda MUNGU.wewe uliye na shida kama yangu tuwasiliane tuma kwenye inbox yangu, nikupe details zangu
 
eeh jamani MWANAKE halafu MCHUMA WA KIKIRISTO.mh haya niinbokisi
 
Back
Top Bottom