Natafuta rafiki wa kike

Luali

Senior Member
Jan 1, 2013
101
0
Habari yako!

Natumaini Xmas ilikuwa nzuri kwako, na natumaini fika mwaka mpya tutafika salama na kwa afya njema.

Mimi ni kijana ninayeishi nje ya nchi, na natafuta rafiki wa kike ili tuwe na urafiki wa kawaida, wa kuelewana, kushauriana na kusikilizana katika mambo mbali mbali ya kimaisha.

Nina miaka 33 sasa, na ni Mtanzania halisi, ila naishi nje ya nchi kwa sasa.

Ningependa kupata rafiki anayejielewa, mwenye hekima zake, elimu, heshima na muelewa katika mambo mbali mbali ya kidunia na utu, na nitafurahi kupata mtu mwenye kazi yake ama biashara yake aidha ya yote hata mwanafunzi wa chuo haina shaka.

Shukran.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom