Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
awe mweupe, mrefu kias, mnene kiasi,shape mzuri awe mfanyakazi au amejiajiri kama uko ivyo chek me on 0718261099
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Fake name means fake future partner. 2. You must be insane, hilarious, seriously sick or even a big joke if you can't afford to find a partner out of infinite many people that physically...
7 Reactions
192 Replies
10K Views
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huku tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi. Ningependa kupata mwanamke mwenye kujitambua, mwenye elimu/kazi/biashara yake ama hata...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
..............
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume miaka 24.natafuta marafiki wa jinsia zote na dini zote kutoka arusha 0759200565
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi.....nnampenzi wangu tumekaa almost miaka mitatu sasa..bt hajawai kunipeleka anapoishi hta mala mja..na najua kila kitu kuhusu yeye kwamba anamtoto bt aishi naye anaishi na...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Ambao hawapendi ni hila zao tu! To be honest wanawake wanakuwa na mvuto zaidi!!!
0 Reactions
38 Replies
21K Views
ndugu zanguni,ninaumri 32.natafuta mke ili tuyaanze maisha pamoja.Nipo songea. dini siyo kigezo kwangu wala elimu.napenda mwanamke asiye tumia mkorogo.18-30 umri No 0653109366
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
mm ni mwanaume miaka 32, elimu ya chuo, nina mtoto mmoja, kwa umbo ni mnene wastani kimo cm 154, ni mweusi kisura. natafuta mke umri miaka 23-31 dini yoyote, elimu kuanzia kidato cha nn, awe na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Nahitaji mwanamke wa KUOA, awe na angalau sifa zifuatazo:- Dini: Muslim mwenye kujitambua na kumjua Mola wake kwa vitendo. Elimu: Aliyehitimu kidato cha nne na kuendelea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi wana Jf Natafuta mchumba mwaminifu ili aje kuwa Mke wngu. Aliyetayari ani PM. Umri wangu ni 37, urefu sm 150, elimu yangu ni ya kawaida lkn nitafurahi sana atakayekuwa tayari bc angalau awe na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani siku zinahesabika mwaka uishe sijapata malkia vipi madada mpo?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
umri 18-22 elimu c tatzo..awe mcha mungu..awe mtulivu..elimu yangu ni diploma nina miaka 25 email johnsonmichael883@gmail.com..changamkia fursa hii
0 Reactions
0 Replies
781 Views
mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 natafuta mchumba wa kike awe anaishi morogoro kama sio moro basi awe tayari kuja kuniona moro, awe anaumri chini ya miaka 27 namba ya simu 0656179600. kua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Aliye tayari tuwasiliane pjhn367@aol.com
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Natafuta mke wa kuoa.Aliy tyr ani pm tafadhali nmekuwa mpweke.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hey ladies; Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwsho ana majini m nasubr wa kunifuata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natafuta mchumba..shariti kubwa amepende Allh sana kuliko mimi..awe chini miaka 23 mpka 20
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom