Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wadada wa humu mbona mna masharti sana yani mna masharti bwena katika wooote sijawahi ona hata mmoja anayetutaka sisi khaaaa....
1 Reactions
9 Replies
991 Views
Hi, Natafuta mchumba
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Nahitaji mume mwenye mapenzi ya kweli Mimi nimeajiriwa, SIFA Miaka 35-40, Awe muislam mwenye maadili ya dini, Amejiriwa au mwenye shughuli ya kueleweka, Aliyekuwa serious ani PM
2 Reactions
20 Replies
4K Views
mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba wa kuoa. SIFA 1.awe mkristo. 2.awe na umri usiozidi miaka 23. 3.awe tayali kupima vvu. 4.awe tayali kuvumilia kwa muda wa mwaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni msichana natafuta mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu, mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili anitafute0786730005
3 Reactions
115 Replies
25K Views
Habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa' mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za...
12 Reactions
175 Replies
46K Views
Mdada ambaye anaamini katika hizi falsafa:- 1: she can start from zero to hero (economically) 2: she can start from where she is. (in any life aspects) 3: She can learn from every action (...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey there! Huu uzi nimeweka hapa kwa lengo la kumpata binti mrembo atakae kuwa ananifanyia "massage"...strictly massage and nothing more. Kama wewe ni binti na una uzoefu wa kumkanda kanda...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana Jf,mimi ni msichana wa miaka 26,Nimeajiriwa nipo Arusha.Natafuta mume kuanzia miaka 29-32,awe na kazi au biashara ya kueleweka ,awe mrefu,awe mkristo.Aliye tayari nipigie kwa no...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MIMI NAITWA MARK SIBUGA NIPO MBEYA.NATAFTA MKEWA KUOA AMBAYE ATAKUWA NA VIGEZO HIVI MCHA MUNGU DIGRI MOJA NA KUENDELEA MWEUPE/MAJI YAKUNDE ANAFANYA KAZI,BIASHARA NA KUAJIRIWA KTK SERIKALI...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Me najua thamani ya mwanamke na sipendi kupmotezea muda mtu ukweli naitaji marafiki ni dm nitashare nawe jambo zuri sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Natafuta mke wa kuoa mwenye tabia nzuri. Huyo mke awe na rangi yake ya Asili sio ya kutumia cream. Sichagui rangi,awe na elimu angalau ya form four. Umri wake uwe kati ya 20 - 30. Awe mpenda watu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wana JF,hongereni kwa michakato ya hapa na pale. Kutokana na hali halisi ya maisha,changamoto za ndoa,uwiano wa idadi uliopo kati ya wanaume na wanawake, imenibid nibadili namna ya kupata mke...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hi jf members! Mimi ni kijana wa miaka 32, Mwajiriwa mwenye shahada ya pili ya uchumi, Mstaarabu,mtanashati,sinywi,sivuti,mrefu kiasi,najua nini maana ya kumpenda,kumtunza ,na kumjali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wana jf natafuta rafiki sibagui rangi,jinsia,kabila,elimu,aliye tayari ani-pm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna jamaa angu amekuja na kulalamika kwangu nimshauri nkaona nivyema nililete hapa kwa wataalam wa hizi mambo. Jamaa ana dem wake na wako kwa mahusiano takribani miaka 8, jamaa kashalipa mahari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello, Mimi ni kijana wa kiume, nahitaji binti wa kuanzisha urafiki nae katia ya miaka 25-28, nipo Arusha kwa sasa. If anyone is interested unaweza ni-PM. Karibu.
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Wadau wa jf: Nami najitokeza kwa nia na dhamira moja ya kutafuta mchumba wa kike atakayekuwa mke wangu baada ya kuridhiana. Mimi ni mfanyakazi nipo mojawapo ya mikoa ya kanda ya ziwa, elimu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
umr kuanzia 18~25,mcha mungu, mwembamba wa wastan na mweus wa wastan pia,thamin pendo Na Kujal,mrefu wa wastan. kama ni dada ambae upo serious npm contact zitafuata kwa mawasiliano ya kina zaidi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom