mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,373
- 2,251
Wana JF,hongereni kwa michakato ya hapa na pale.
Kutokana na hali halisi ya maisha,changamoto za ndoa,uwiano wa idadi uliopo kati ya wanaume na wanawake, imenibid nibadili namna ya kupata mke.
Wale watakao kuwa interested na mimi, nitwaita kwenye interview then mwenye maksi nyingi naanza training, probation then renewable contract.
Baadhi ya hints:
-Umewahi kutoa mimba na marangapi?
-Upo tayari ku handle pressure, to which extent?
-Kipacho chako kwa mwezi?
-Unauzoefu na mapenzi? kwa mda gani?
*Maswali mengine yatatokana na jinsi utakavyo jieleza.
Nawasilisha..