Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliachana na mwanamke niliyedumu nae kwa miaka 3 iliniuma sana baada ya kunisaliti nimekuwa mpweke sana lakin inatosha nahitaji bint mbichi wa kunipa mapenzi matamu...
Mm ni kijana mwenye miaka 26 naishi mby ninahitaji msichana wa kuwa mchumba wangu and then tuoane
sifa zangu
umri 26yrs
mrefu wa wastani
nimeokoka
mpenda maendelo/kijituma
sifa...
Ni kwamba toka nakua mpaka nimekuwa mtu mzima katika mchezo wa ujana nimekutana na wanawake wengi,na napenda pia niseme kabila langu si mpare wala mchaga ila ki ukweli tanzania hii kwa wanawake...
Salama wakuu. Natafuta binti kuanzia age 21-28 for serious relationship. Kama una kigezo hicho, please just pm me.
Please, its a serious matter.
Bravo!!!
wan JF mwenzenu mke wangu ktandani ni sifuri, yaan hanipi mautamu nikatosatsify ni mchovu daily. Nimevumilia nimechoka natafuta demu wa hiari na anayejua kungonoka nifurahie maisha ya mapenzi awe...
Haya sasa nimeamua, ila usilete mashauzi, wala presha sina yaani natafuta mlimbwende anayejielewa na wala si malaika maana najua fika hakuna aliyemkamilifu ila natafuta mwenye hadhi ya kumvumilia...
Nina umri wa miaka 28,mzaliwa wa Kilimanjaro ni mrembo tuu na mfufu kiasi rangi chocolate natafuta mwenza kabila lolote ila si mchaga,Mweupe wa rangi awe msafi na ajue kuvaa,awe ana kazi na...
Kwa hali ilivyo sasa, JF naona ukumbi wa MMU na Love Connect ni sehemu ya kupata michepuko. Hii ni digital technology ya kufanya uzinzi. Kwa kuwa kuna dada zetu bado wanafanya hiyo biashara...
This is very serious, I'm looking for a girl friend aged 20-23, HIV (-) who respect herself, good looking, a bit tall, living in Dar.
I,m 25 yrs, 6ft tall, deep voice, HIV (-) ,a bit white.
so...
Wapendwa nahisi kilichobaki nikuiigiza movie za mapenzi nakucheza pati ya kuumizwa maana kila mdada ninaempenda ama kutokea kumpenda kwa dhati ni lazima aniumize, sasa nimekuwa rejendali wa...
Habari za asubuhi wana Mmu mimi nikijana mwenye umri wa miaka 23 nafanya kazi yangu binafsi ambayo inanipa kipato maisha yangu yanaenda.
Nimwez mmoja sasa umepita tangu nilipofahamiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.