Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Umri awe miaka 25-28 hii ni kwa mpenzi,kwa marafiki umri wowote tu.Email yang n ekwilasa88@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau mtakumbuka siku chache zilizopita nilileta hapa ombi langu la kutafuta mchumba wa kike aliye-tayari na aliye serious, sasa nasikitika kuwa hadi sasa sijampata ila kufuatia tangazo lile hiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natamani kuwa na mrembo wa kishare naye shida na raha. Awe tayari kupima HIV, awe na kazi yake maana kibarua changu kamshahara kadogo sana japo si kama nataka anilee bali asitarajie makubwa toka...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
YES! Kwa msichana anaye hitaji mapenzi ya dhati,upendo wa kweli,na mwenye ndoto za kuwa na mwanaume bora na mwenye huruma,hekima,mcheshi,mkweli,mkalimu,masikini,na mwenye ndoto za kuolewa.basi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mpenzi wa kike mimi ni jinsia ya kiume vigezo awe na pesa na mapenzi ya kweli .....kama upo ni PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa anthony wambura mzaliwa wa wilaya ya tarime,mara ninategemea kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano mwaka huu kiukweli nimetokea kupenda jeshi toka nikiwa mtoto mdogo baada ya kumaliza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Natafuta girlfriend ambaye atakuwa mke wangu mtarajiwa, kiufupi awe na size yoyote ila asiwe mfupi sana wala mnene sana, rangi yoyote, sichagui dini wala kabila, umri kuanzia 18-23. Ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Habari wana jf Mimi kijana wa miaka 27 naishi dsm na nimeajiriwa na kampuni moja ya ujenzi. Natafuta mwanamke wa kuoa kwa sasa umri wake usiwe chini ya miaka 20,haijalishi km ameajiriwa au la as...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
:A S 100:Naitwa ........... ninamiaka 27, ni-naelimu ya stashada(Ordinary diploma) ktk field ya engineering. natafuta msichana/mwanamke sitamkagua vyeti kujua ana elimu kiasi gani bt uelewa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mi ni mvulana wa 26yrs,urefu futi 5.5,ni Muslim, Elimu Bachelor,nimfanya kazi na naishi Dsm, Natafuta mke half caste mweny elimu ya kidato cha 4 au 6, Urefu atleast futi 5.4 - 5.6, awe...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Natafuta msichana wa kuwa mchumba wangu then tukifikia muafaka nitamuoa Umri 18-25 Mrefu Black beauty Elimu angalau form four Tabia nzuri Contacts me soon
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau wa jukwaa hili pendwa, napenda kutumia fursa hii kwanza kuwajulisha kuwa mi ni mgeni au unaweza sema kuwa ni mpya katika jukwaa hili Jamani kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta...
0 Reactions
108 Replies
8K Views
Naitwa Sam, age yangu ni 26, nahitaji marafiki aliye tayari ani-text kupitia 0784824269
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji marafiki wa kike ambao ni single wenye muono wa kimaisha,no matter mwanfunzi wa chuo,biashara au mfanya kazi ila wawe watumiajia wa whatsapp...pm me.
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Natafuta msichana mrembo aliye tayari kuingia kwenye maisha ya ndoa hivi karibuni..ni pm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 35, Nimejiajiri, na nayamudu maisha yangu. Kipato changu ni cha wastani na nashukuru maisha yangu si mabaya. Natafuta mwanamke mwenye umri huo, mwenye moyo mpweke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi ni kijana mtanashati umri wangu ni miaka 26 natafuta mchumba wa kuoa umri mwisho miaka 25 kushuka chini sifa kuu heshima,upendo,huruma na uvumilivu pamoja na umbo namba 8 mwenye sifa hzo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vivian wa Arusha Mianzini where a u know?? I still you missing best.----is me Mustafa!!
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Je wewe ni mdada mkristo, uliye tayari kupima UKIMWI, hata kama una mtoto asizid mmoja, umbo MNENE KIASI na unaishi Dar es Salaam. Kama ndivyo basi ni-PM nikuunganishe na kaka wa miaka 35...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mm ni mvulana wa miaka 24,naitaji girfriend ambaye cku za uson awe wife.Maelezo zaid 2kutane on 0767_877 421 au 0659_443 320. Kaz kwenu wadada cfa-: _maj ya kunde au wait co mbaya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom