Huu ni wivu au majanga jamani sielewi

Huu ni wivu au majanga jamani sielewi

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
Kuna jamaa angu amekuja na kulalamika kwangu nimshauri nkaona nivyema nililete hapa kwa wataalam wa hizi mambo.
Jamaa ana dem wake na wako kwa mahusiano takribani miaka 8, jamaa kashalipa mahari na sasa ni vikao vya harusi vyaendelea.
Tatizo ni kuwa dem ana wivu balaa au sijui niuiteje. Anachukua sim ya mshkaji na anakagua no zote na akikuta no yyte ambayo atahisi labda ni ya mwanamke huichukua au kuanza kuchat nae ili tu aone majibu ya upande wa pili ndo ajiridhishe.
Amesha mgombanisha jamaa na wafanyakazi wenzake wakike watatu ambao kiukweli jamaa wala hakua na mahusiano nao.
Amejaribu kukaa nae chini akinishirikisha na mm tumemshauri huyu shem wangu apunguze kujihami wapi anasema huyu ni mume wake hivyo ni lazma amlinde sa ndo ulinzi gani huu unaboa.
Ikiingia sms kwenye cm ya man wake ye ndo wakwanza kwenda kuisoma, pia kwenye watsup ya jamaa kila tym anakagua mpaka cm zilizoingia na kutoka. Jamaa amechoka coz kuna time binti aliona no ngeni kwenye cm ya jamaa akachukua no na kuanza kumtext wakagombana sn mpaka sa iz wadada kibao wala hawansalimii mshkaji wangu huyu. Hebu nambieni wadau huu ni wivu wa kawaida au vp manake jamaa anamashaka kuwa akimuweka ndani si ndo hata kazini hatoenda sasa. This is a very true case so mawazo yenu ni muhimu sn kwa ambao mmeshawahi ishi na wanawake wa namna hii coz dem kasoma ana degree na mambo yake safi pia jamaa nae kiuchumi yuko safi
 
Lidem lako hilo unazuga tu,ebwa hicho nikimeo pigachini faster ukimbie akiolewa hatanduguzako utazuiwa kuwasaidia
 
Mmjhhh anajitafutia presha na kufa mapemaa
 
Kama wameweza kuishi miaka 8 basi wamezoeana wasikusumbue hao.
 
Just cut her loose pretty quick otherwise face the consequences.
 
Huo wivu alikuwa nao miaka 8 yote?Na kama aikuwa nao before iweje jamaa alalamike kipindi ambacho tayari katoa mahari? Na kama miaka yote alikuwa nao ina maana ameshazoea kwahiyo swala la kulalamika halipo.Kama kaanza sasa huo wivu it's probably because wapo kwenye stage ya kuoana so mdada lazima awe protective.
 
Ameshakuwa mzoefu so mshauli asisite kuendelea na mipango yake ya ndoa coz nine years sio mchezo!huyo kaka anaonyesha ni mvumilivu
 
miaka nane mnajiita nyie wachumba? hebu tuamshe akili sometyms
 
Wataalamu wanasema mtu mwenye wivu sana ndio saa nyingine ni bingwa wa ku cheat.Na kwa upande mwingine huyo mwanaume hadi iwe simu yake inakaguliwa hivyo kuna uwezekano mkubwa alishawahi kufumaniwa au kuna vimeo vilikutwa kwenye simu yake siku za nyuma ndio maana binti anakagua sana ili ajue kama vimeo bado vinaendelea au vimeisha.
 
Hii ndo jf raha sn humu humu kuna manabii na watabiri yani raha sn wadau walivosoma tu hii post wakajua kuwa nazuga tu ila huyu dem ni wangu ur very right she z my honey
 
Idea ya kumuacha siiungi mkono hata kidogo coz kiukweli huyu mwanamke ametulia na she iz wife material miaka 8 si mchezo.Nahitaji ushauri tu wa namna gani ntadeal na hili tatzo la wivu wake yani hali ni mbaya seems hana imani lakn mbna sijawah cheza faulo wadau!hebu nipeni trick yyte ya ku solve hii kitu
 
Lidem lako hilo unazuga tu,ebwa hicho nikimeo pigachini faster ukimbie akiolewa hatanduguzako utazuiwa kuwasaidia

umejuaje mwana kama nazuga ni dem wangu?utakua nabii ww lazma sio bure.ila kwenye ishu ya ndugu zangu anawapenda balaa na kuwajali sn ishu ni wivu cjui hajiamini huyu
 
Kuna jamaa angu amekuja na kulalamika kwangu nimshauri nkaona nivyema nililete hapa kwa wataalam wa hizi mambo.
Jamaa ana dem wake na wako kwa mahusiano takribani miaka 8, jamaa kashalipa mahari na sasa ni vikao vya harusi vyaendelea.
Tatizo ni kuwa dem ana wivu balaa au sijui niuiteje. Anachukua sim ya mshkaji na anakagua no zote na akikuta no yyte ambayo atahisi labda ni ya mwanamke huichukua au kuanza kuchat nae ili tu aone majibu ya upande wa pili ndo ajiridhishe.
Amesha mgombanisha jamaa na wafanyakazi wenzake wakike watatu ambao kiukweli jamaa wala hakua na mahusiano nao.
Amejaribu kukaa nae chini akinishirikisha na mm tumemshauri huyu shem wangu apunguze kujihami wapi anasema huyu ni mume wake hivyo ni lazma amlinde sa ndo ulinzi gani huu unaboa.
Ikiingia sms kwenye cm ya man wake ye ndo wakwanza kwenda kuisoma, pia kwenye watsup ya jamaa kila tym anakagua mpaka cm zilizoingia na kutoka. Jamaa amechoka coz kuna time binti aliona no ngeni kwenye cm ya jamaa akachukua no na kuanza kumtext wakagombana sn mpaka sa iz wadada kibao wala hawansalimii mshkaji wangu huyu. Hebu nambieni wadau huu ni wivu wa kawaida au vp manake jamaa anamashaka kuwa akimuweka ndani si ndo hata kazini hatoenda sasa. This is a very true case so mawazo yenu ni muhimu sn kwa ambao mmeshawahi ishi na wanawake wa namna hii coz dem kasoma ana degree na mambo yake safi pia jamaa nae kiuchumi yuko safi

Imefanana kama Riwaya ya Bongo movies inaitwa Matlida (main characters Matilida na Hemed PhD)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom