Natafuta mke

Natafuta mke

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Natafuta mke wa kuoa mwenye tabia nzuri. Huyo mke awe na rangi yake ya Asili sio ya kutumia cream. Sichagui rangi,awe na elimu angalau ya form four. Umri wake uwe kati ya 20 - 30. Awe mpenda watu na asiwe anatumia pombe,sigara,bangi, mirungi, na mengineyo. Asiwe anavaa nusu uchi pia awe #mwisilam .
kabila lolote na awe anatoka mikoa ya #MARA_MWANZA_KAGERA_SHINYANGA Aliye tayari tuwasiliane kwa namba hii 0765751413. Napatikana whatsApp kwa namba hiyo hapo juu. Mimi napatikana Bunda-Musoma.
 
Ngoja yaje,ila umejiandaa kuwa na wakili?.maana ndoa za siku hizi,halafu na wewe mkuu huko mliko mko madume tupu?mke toka jf uwiiii utafurahi huo mziki na mtaachania humuhumu.
 
Unatafuta MKE wa KUOA hutampata labda kama ungetafuta mwanamke wa kuoa
Halafu hivyo vigezo mmh..!sijui haaya
Mi nijuavyo ndoa si vigezo bali ni mapenzi ya kweli kati ya wawili wengi tungeangalia vigezo ndoa nyingi zisingedumu na ndoa nyingi zinazovunjika nikwasababu ya watu kuangalia vigezo badala ya mapenzi
 
Jamani sitanii halafu vigezo mbona vyepesi? Ama kigezo cha mwenye rangi yake Asili maana hiyo ndo labda itawapa shida sana sababu dada zetu wengi wao wamezoea mikorogo.
 
Natafuta mke wa kuoa mwenye tabia nzuri. Huyo mke awe na rangi yake ya Asili sio ya kutumia cream. Sichagui rangi,awe na elimu angalau ya form four. Umri wake uwe kati ya 20 - 30. Awe mpenda watu na asiwe anatumia pombe,sigara,bangi, mirungi, na mengineyo. Asiwe anavaa nusu uchi pia awe #mwisilam . kabila lolote na awe anatoka mikoa ya #MARA_MWANZA_KAGERA_SHINYANGA Aliye tayari tuwasiliane kwa namba hii 0765751413. Napatikana whatsApp kwa namba hiyo hapo juu. Mimi napatikana Bunda-Musoma.
Unamtafuta mke? Kwani amepotelea wapi? Je umeshatoa taarifa katika kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe? Umeshatoa taarifa kwa ndugu na majirani endapo watamuona waweze kukupa taarifa? Wakati anapotea alivalia nguo rangi gani ili tumuonapo tuweze kukupa taarifa.
 
ha ha ha haaaa!mbavu zote zimevunjika,wapi ambulance.
 
Mi nimekosa sifa moja tu sipendi watu ila usikate tamaa MPm invisible atakupa mke umtakaee!!
 
Kwanini usitafute mchumba halafu ukiona anafaa ndio umuoe awe mke? sasa wewe unatafuta mke inamaana hapo unatafuta aliyeachika? au unataka uwe mume wa pili?
 
Kwanini usitafute mchumba halafu ukiona anafaa ndio umuoe awe mke? sasa wewe unatafuta mke inamaana hapo unatafuta aliyeachika? au unataka uwe mume wa pili?
Mkuu kama umeelewa vizuri heading ya huyo jamaa, ni kwamba anatafuta mke! Maana yake alishakuwa na mke lakini amepotea kwa hiyo yuko katika process ya kumtafuta mkewe. Kwa hiyo atakayemuona ampe taarifa.
 
Mkuu kn dada anatft mume, nliona post yk, ngoja namalizia kumpk kucha rng yf afu ntakutajia jn
 
Mkuu kn dada anatft mume, nliona post yk, ngoja namalizia kumpk kucha rng yf afu ntakutajia jn

Heeeee mbavu zangu

Gud maliza muunganishe na mume wake na uwaambie wawe makini wasirudie tena huu uzembe wa kipotezana
 
Mkuu kama umeelewa vizuri heading ya huyo jamaa, ni kwamba anatafuta mke! Maana yake alishakuwa na mke lakini amepotea kwa hiyo yuko katika process ya kumtafuta mkewe. Kwa hiyo atakayemuona ampe taarifa.

hahahahaha! Dah jf bwana ntaimis sana cku nikidanja!!
 
Daaah!! Jumapili ya leo naona watu wameufeel upweke sana, threads za kutafuta mahusiano leo zimekuwa nyingi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom