Natafuta mke muislamu

Natafuta mke muislamu

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
Kwa niaba ya Rafiki yangu Othman, natoa nukuu ifuatayo kwa kinadada.

Ninatafuta Mchumba muislamu mwenye kati ya umri wa miaka 23 hadi 2, awe na sifa zifuatazo: Muislamu wa kweli, mwenye heshima na anayejipenda na kujiamini.

Awe ana ajira ama biashara.

Awe mweupe.

Kuhusu Mimi nina Umri wa miaka 28.

Nina mtoto mmoja kiume miaka mitatu anayeishi kwa bibi yake.

Sijapanga, naishi Kwangu.

Nafanya kazi kampuni binafsi.

Natumia kilevi kidogo nikiwa nasocialize.

Napenda maakuli mazuri.

Sina kitambi, lakini naona nikikupata kitakuja.

Mwisho tukutane tuongee tukiendana tupime, tupimane.

MWISHO WA NUKUU, MIMI NILIPATA MKE HAPA HAPA JF, NA SASA TUNA MIAKA MINNE NA WATOTO WAWILI SASA, TUKO POA NA NAMSHUKURU MUNGU, SO NIMEMSHAURI AJARIBU HAPA. SABABU WAPO WAKE CLASSIC WENYE HESHIMA ZAO HAPA HAPA.

Nitumie private msg nikutumie namba kama uko serious.
 
unataka mke muislam safi alaf wewe mwenyewe mlevi poleeeee utapata mlevi mwenzio
 
kweli dunia imeisha..umesema unatumia kilevi kidogo!
Kwanza wewe ni mzinzi,,huwezi kywa muislam ukatutangazia kuwa una mtoto nje ya ndoa ,''huyo sio mwanao.''
 
kweli dunia imeisha..umesema unatumia kilevi kidogo!
Kwanza wewe ni mzinzi,,huwezi kywa muislam ukatutangazia kuwa una mtoto nje ya ndoa ,''huyo sio mwanao.''

hivi lini mtapata akili ?
Huyo mtoto kachagua kuzaliwa nje ya ndoa au kajikuta tu kazaliwa nje ya ndoa ?
 
Back
Top Bottom