Natafuta mpenzi wa kike

Natafuta mpenzi wa kike

Jayffa

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
81
Reaction score
5
Hi! naitwa Jaffery Adam, ninaumri wa miaka 21.

Natafuta rafiki wa kike, awe na miaka 19-23 awe mwembamba kiasi. hatakama hana kazi, awe na upendo wa kweli.

ukiwa tayari unanipata kwenye no. 0758082840

Ukipiga jitambulishe
 
Calm down kijana.tafuta rafiki wa kike kwanza mambo ya kudumu na kuoana yatakuja yenyewe sawa mdogo wangu.na katu ukimpata mwanamke usimwambie una muoa from the begining anaweza kupretend kama kruta anavyo vumilia mafunzo ya jeshi kumbe mbele anaangalia cheo.
 
Hi! naitwa jaffery adam, ninaumri wa miaka 21. natafuta mpenzi wa kike wa kudumu naye na baadae nifunge nae ndoa. awe na miaka 19-23 awe mwembamba kiasi. hatakama hana kazi,, awe na upendo wa kweli.ukiwa tayari unanipata kwenye no. 0758082840 ukipga jitambulishe

hebu wawekee picha yako mkuu usije kua andunje au kipipa tu. by the way kila la heri
 
Mpenzi huwa hatafutwi anakuja automatically na katika umri wako huo bado sana lazima upitie broken heart ndio ujue mapenzi ni kitu gani
 
hebu wawekee picha yako mkuu usije kua andunje au kipipa tu. by the way kila la heri

Hehee kipipa? Mmmmhh nakumbuka kuna mtu alileta Uzi humu eti ..
Wanaotafuta mamanzi humu hawatazamiki Mara mbili..hehee sijui nani yuleee!!!!??.sijui alikuwa anamaana gani loh!!!
 
Hi! naitwa Jaffery Adam, ninaumri wa miaka 21.

Natafuta rafiki wa kike, awe na miaka 19-23 awe mwembamba kiasi. hatakama hana kazi, awe na upendo wa kweli.

ukiwa tayari unanipata kwenye no. 0758082840

Ukipiga jitambulishe

Aisee pole kwa staili hii utapata tapeli coz wale wa afrika magharibi humu ,yaan kaona avatar yako anakuambia I like you na upuuz mwngne
 
Mpenzi huwa hatafutwi anakuja automatically na katika umri wako huo bado sana lazima upitie broken heart ndio ujue mapenzi ni kitu gani

Kwann umeniwah what i plan to write hiaaa
 
hahahahaaa unaangali they way mtu alivyo!! kwan hujui wembmb wa reli train inapita
 
Hehee kipipa? Mmmmhh nakumbuka kuna mtu alileta Uzi humu eti ..
Wanaotafuta mamanzi humu hawatazamiki Mara mbili..hehee sijui nani yuleee!!!!??.sijui alikuwa anamaana gani loh!!!
Munkari ahahahha mtu anataka mke hata picha haweki ila yeye anataka za ao anaowatafuta,,,iani kweli humu hatuonani waweza mdhania mtu ndivo sivo
 
Last edited by a moderator:
Kaweka picha umemuona? Veri hendisamu!!!!
Dah..hawa vijana wana tafuta majukumu wahonge ada watie wazazi hasara. Hii picha na pos yake hajui hatari yake, kama mzazi wake ni member humu atakiona na mtema kuni leo.
 
Dah..hawa vijana wana tafuta majukumu wahonge ada watie wazazi hasara. Hii picha na pos yake hajui hatari yake, kama mzazi wake ni member humu atakiona na mtema kuni leo.

Anatafuta sukari mama huyo si bure!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom