Natafuta mke wa kufunga nae ndoa

Natafuta mke wa kufunga nae ndoa

Mbilimbi

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Nina miaka 45,nina nia thabiti na ya kweli kabisa,nipo hapa natafuta mke ambae yupo tayari kufunga ndoa.Sina ubaguzi wowote,mwanamke ninaemuitaji awe na dhamira ya kweli kufunga ndoa na si vinginevyo.

Mwanamke ambaye mwenye dhamira ya kweli kabisa na mwenye nia ya dhati na mkweli kufunga ndoa naomba tuwasiliane kwa 0718 98 97 65,KARIBU SANA MKE MWEMA.
 
Nakutakia kila la heri kaka yangu..!
 
Inawezekana upo serious bt jieleze zaidi. Hukua na mke ktk umri huo? Nn kimetokea? Dini gani? Unajishughulisha na nn? Ikiwezekana utaje unaishi wapi? Ili mtu akikupm awe serious pia.
 
Back
Top Bottom