Bado natafuta Mke

Bado natafuta Mke

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,537
Kwa binti aliye tayari tu kuolewa na mwenye kazi iwe ya Ualimu, Nurse au kazi yoyote halali namkaribisha sana.

Awe serious tu katika hili, aliye tayari ni-PM.

Hii ni kwa mabinti/wanawake tu.

Mume/Mke ni popote pale.
 
Mkuu ungeweka wasifu wako Ili vigezo vizingatiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom