Mwanamke single pita hapa

Mwanamke single pita hapa

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,762
Reaction score
8,012
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu.
Msichana aliyesiliazi, mkristo.

Age 27 aliyepo single elimu form 4-bachelor.

Askari na manesi siwataki.

Karibu.
 
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu.
Msichana aliyesiliazi, mkristo, age <27 aliyepo singo elimu f4-bachelor. Askari na manesi siwataki.

Karibu.

Wamekusikia mkuu good luck!
 
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu.
Msichana aliyesiliazi, mkristo, age <27 aliyepo singo elimu f4-bachelor. Askari na manesi siwataki.

Karibu.

kwa askari naweza kukushauri kuwa wako rough kidogo kwenye mapenzi but manesi are the real wives.mwanamme yeyote anaweza kuwa na tabia mbaya muda na wakati wowote but atleast TEACHERS AND NURSEA hawana historia mbaya kivile.but remember real men marry teachers
 
nimependa mstari wa mwisho. Like.
 
kwa askari naweza kukushauri kuwa wako rough kidogo kwenye mapenzi but manesi are the real wives.mwanamme yeyote anaweza kuwa na tabia mbaya muda na wakati wowote but atleast TEACHERS AND NURSEA hawana historia mbaya kivile.but remember real men marry teachers

chukua 5
 
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu.
Msichana aliyesiliazi, mkristo, age <27 aliyepo singo elimu f4-bachelor. Askari na manesi siwataki.

Karibu.

Sifa zote ninazo. Kilichonikimbiza tu ni ww kuwa msukuma.
 
Nilidhani zari limeniangukia kumbe haututaki mapolisi?Haya bwana all the best
 
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu.
Msichana aliyesiliazi, mkristo, age <27 aliyepo singo elimu f4-bachelor. Askari na manesi siwataki.

Karibu.

miaka yako dah?
 
Sijui kwanini nilikuwa polisi aaaaargh fursa imenipita.
 
Ali kumyaga nanho!
Abhayanda benabha kimba twanje kuyubatwenya milanga...hamo amasala gakwizamo!!!
Olo bhiza umujini bayohuneka sagala du.

Bebe nyanda ali shokaga kaya okatole kanhya ka nhana shi.....lekanaga na butandawazi bwing'we....ulalila nduhu nu ntuji!!! Nakumala...

Mambo haya nyerere ndio halikuwa hayataki
Ukabila ukabila ukabila
 
Back
Top Bottom