Mjane Unahitajika

Mjane Unahitajika

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
535
Uwe Maeneo ya Morogoro mimi sijawahi kuoa. Ni PM
 
Yupo mumewe amekufa miezi 5 iliyopita sema mtaani wanadai kafa na ukimwi, ila kama yuko tayari namuunga.
Suala muhimu hapo ni kupima tu,huenda mume kafa kwa Ngoma,mjane yupo -ve,au marehem alitangaza ana ukimwi ili kuwatisha watu wasimuoe mjane(mkewe alomuacha) kwa sababu za wivu
 
Back
Top Bottom