Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 < 48yrs.........ndoa yangu hii ilifungwa Kiislamu ingawa sasa mimi ni mkristo.
Karibu
Karibu