Natafuta mwenza ambae atakua mke wangu

Natafuta mwenza ambae atakua mke wangu

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
197
Reaction score
98
Nichukue nafasi hii kuwashukulu wana jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninatafuta mchumba aliye serious ambae siku za usoni tutakua mke na mume.
Baada ya kuachana na yule niliyekua nae kama miezi miwili iliyopita nimekua mpweke sana na nikitamani siku moja nimpate mwenza nitakae panga nae malengo na awe mshauli wangu katika katika safari hii ya maisha.
Sifa za ninaemtafuta;
Umri:18-24
Dini: Mkristo
Kabila: Lolote lile
Elimu: Yeyote ile ata akiwa std 7
Rangi: Yeyote ile

Sifa zangu mimi: Mweupe, mrefu kiasi, mnene wa wastani, elimu ni stashahada ( Diploma), mkristo!

Naomba mtambua kua niko serious na swala hili, Ahsanteni!!!
 
Mkristo usiye enda kanisani, maana ungeopoa huko huko mkuu
 
Hatuji kwa sababu wanaume wengi ni matapeli siku hizi. Pole kama nimekukwaza . Asante.
Dada yangu pole,inaonekana umeumizwa sana,napenda nikuhakikishie kuwa wanaume wazuri/waaminifu wapo,wanapatikana kwa Yesu,usikate tamaa,hebu mwamini yeye utaona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom