Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Wa jf heshima zenu.
Natafuta mchumba ambaye badae atakuja kuwa mke wangu.Awe ni binti mwenye heshima na upendo, awe na mwili kidogo, ila asiwe mfupi wala mrefu, asiwe askari wa jeshi lolote.Akiwa muislam itakuwa vizuri zaidi.
Kuhusu mimi, kama mtu akiwa serious ntampm
Nawasilisha
 
this is purely unyanyapaa, inamaana hao maaskari hawana haki ya kuolewa?? hawazai, hawana feelings??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom