Someone to chat with

Someone to chat with

Dunia

Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
96
Reaction score
19
anyone who is ready to chat with me in english he/she is invited. time for chatting will be from 22:00 to 00:00 am.
chatting without any restrictions (unconditional chatting).
 
Una da'arama sana...........
 
Kumbe unajua Kiswahili.........ulivyosema unataka kingreza nami nikaja na lugha ya kwetu..........
ha ha ha ha! umenifurahisha sana. kiswahili najua ila napenda kiingereza kwakuwa kinataste nzuri kwenye mapenzi na chatting pia. pia napenda kuimprove kiingereza changu ili siku moja nimtokee demu wa kizungu
 
Mimi sijui english vizuri, halafu ni dume inakuaje there
 
fresh, mdogo mdogo unajua english vizuri. you are welcome, sipagui si chagui. ni mtu yeyote anakaribishwa
 
ha ha ha ha! umenifurahisha sana. kiswahili najua ila napenda kiingereza kwakuwa kinataste nzuri kwenye mapenzi na chatting pia. pia napenda kuimprove kiingereza changu ili siku moja nimtokee demu wa kizungu

Sasa hakuna lugha tamu kama kiiraq kwenye mapenzi.........uliza utaambiwa........kingereza nini bana..........
 
fresh, mdogo mdogo unajua english vizuri. you are welcome, sipagui si chagui. ni mtu yeyote anakaribishwa

Inge sound poa kama ungeplan kuw na english village .....
 
Sasa hakuna lugha tamu kama kiiraq kwenye mapenzi.........uliza utaambiwa........kingereza nini bana..........
unamaanisha kiiraq kipi? kinachozungumzwa tanzania na wakazi wengi kutoka manyara au kinachozungumzwa nchini Iraq?. kama ndivyo naomba unifundishe
 
Back
Top Bottom