Sasa nimeamua kutafuta jiko la ukweli

Sasa nimeamua kutafuta jiko la ukweli

The master

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
289
Reaction score
196
Wana jf amani iwe kwenu nyote. Habari zenu wapendwa? kwa sasa nimeamua kutafuta jiko la ukweli.

Mimi ni muislam naishi shinyanga kikazi ila ni mzaliwa wa Lushoto Tanga. Ambaye yuko tayari na ana nia ya dhati ya kupata mume anitafute kupitia email yangu ya sembeawadhi@gmail.com.

Sifa
1. Awe muislam au awe tayari kuingia uislam.
2. Awe tayari kuolewa kwa mahari isiyozidi 500,000.
3. Awe msomi mwenye digree.(Mimi elimu yangu form 4)
4. Awe na kazi ya kuajiriwa au ya kujiajiri binafsi.
5. Awe tayari kuishi maisha ya ndoa yenye heshima, upendo wa kweli na uaminifu.
6. Awe mcha Mungu.

Mke mwema atoka kwa Mungu na halikadhalika mme mwema hivyo hivyo.

MUNGU AWABARIKI WOTE. Siku njema.
 
unamiaka mingapi? unamtoto? una nyumba au umepamga au unakaaa kwa wazizi? unafanya kazi gani?
wazee wako wite wako hai? una ndugu wangapi? je uko tayari kuhamia Zanzibar?
 
Kama una nia njoo kwenye email yangu utapata majibu yote.
 
dah. na mimi nahitaji mke. ila awe muislam. elimu kuanzia form 4. awe mweupe kajazika. anayejitambua.
 
Awe muislam na mcha mungu kitu kilekile tu...
 
Nadhani umesahau kuwa wapo watu wana majina mazuri ya kiislam na ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhan ukiwatazama utasema hawa ndo waislam kumbe ni majina tu. So kuwa muislam ni jambo lingine na kuwa mcha Mungu ni kiu kingine.
 
Mi niko tyr ila uislam ntaingia kama uko vizuri kipesa,elimu,nyumba atlist ghorofa 1,gari ya kutembelea yenye adabu nk kizuri...
 
Thats why sometime I think its better to be alone. Ulichokiandika hapo ndo kitu ambacho mabinti wengi wanakiwaza. Ndo maana wengi wanaishia kumegwa tu na kupigwa chini. Mnasahau kwamba hivyo vitu ni matokeo ya upendo ndani ya nyumba na kujituma kwa bidii kufikia malengo katika familia. Life is not just having cars, good education e.t.c as you claim.
 
Back
Top Bottom