habari wana JF natafuta mpenz wa kike umr kuanzia miaka 18 mpka 25 mim nina miaka 25 npo dar naye pia awe dar,,me ni mfanyakaz nimeajiriwa ktk kampun binafs hapa dar,natafuta mpenz ikiwezekana aje...
Hodi humu i am a boy 22 years old nipo chuo kikuu degree in electrical engineering.
I am a single boy shida yangu ni upweke umenizidi, natafuta mpenzi ambaye if possible tuje kuoana vigezo...
Mimi kwa jina naitwa Idd Kilele umri wangu ni miaka 24 naishi Kimara Dar es salaam awe anajua kusoma na kuandika na awe ana mapenzi ya kweli ivo 2
Kwa mawasiliano zaidi
0766935145
Wakuu mi ni kijana nisiyeweza kuweka privancy yangu hapa.
Ila namtafuta msichana ambaye akicoment naona id yake ina zaidi ya miaka 3 JF halafu bikra.
nasubiri wenye vigezo,
hahaha zaidi ya...
Habari zenu wana jukwaa,mimi kijana wa miaka 21,nimejiajiri natafuta mchumba wa kiislam ambae atakuja kua mke wangu umri wake ni 18-24,awe anaejielewa na mchapa kazi kama ukijiona unazo sifa...
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35...
Natafuta mwanamke age between 19-30 niko tayari kufanya lolote...chochote kwa ajiri yake awe tu mwenye msimamo na mwenye mapenz ya kweli na awe na wivu wa maendeleo na mwenye future vision me...
Aslaam alyeiku,kwanza naanza kwa kumshukuru Allah kwa uzima aliotupati,Kisha kuwashukuru wote mtakao changia mada hii,kikubwa ni kujenga na si kubomowa.
Nimejitokeza Mbele ya kurasa hii nia ni...
habari zenu wapendwa
nadhani si mara yangu ya kwanza kujitokeza mele yenu na kuomba ombi hili,nakumbuka hii ni mara ya tatu, nia yangu ni kupata mpenzi wa roho,mwanaume tutakae match...
Habari wa kuu, samahan mm nina maswali yafuatayo ninaomba nielimishwe hivi ni yupi anaepaswa kulipia gharama(mahari,pete ya uchumba,nauli ya kwenda na kurudi kama wanaishi mbali,na huduma ndogo...
Jamani mimi ni mvulana fulani natokea pande fulani. Natafuta binti wa kubadilishana mambo kadhaa.
SIFA ZAKE.
*Awe amepitia kwenye maswala ya mapenzi.
*Awe tayari kuulizwa swali lolote, nami...
Habari wana JF,Mimi ni mwanamke mkristo,mwenye umri wa miaka 33, ninaishi moshi lkn ni mtu wa nyanda za juu kusini,Nina watoto 2.Natafuta mchumba ambae Mungu akipenda tutakuwa mume na mke,awe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.