Nahitaji mke kwa maana yandoa, nahitaji yule ambaye yupo tayari kwa hilo sio majaribio ya ndoa. SIFA : awe muislamu ,kuepusha migogoro ya kidini kwa maana ya kujakuhitaji kubadilishana dini...
Naombeni kujuwa jamani hivi kama mtu huna pesa unaweza kupata mpenzi akakupenda kwa dhati kweli bila visa vyovyote kama usaliti nk?
Mimi sina pesa na sina mpenzi kila nikitaka kutongoza...
Heyys... natafuta marafiki wapya kabisa umri wowote kabila lolote ata wandorobo rangi yeyote ata kama wa njano dini yeyote uwe dsm sababu mim nipo dsm.ila ata kama upo moshi ni.vyema tu sababu...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya...
mambo wana jf jinsia yangu ni mwanaume,naish dar,nimwajiriwa,dini mkristo,elimu yangu ni chuo kikuu.situmii kilev chochote wala sigara,sijawah kuoa,sina mtoto.natafuta rafiki wakike ili baadae awe...
Habari zenu, kwanza nitangulize shukurani zenu kwa member ote wa jf, mm ni mgeni umu lakini nilikua naitaji girlfriend umri kuanzia miaka 18-22 mm nipo dar es salaam nimesoma adi kidato cha nne...
Imesalia miaka kadhaa hivi niwe na miaka thelathini, lakini sijui ni ushamba au ni matatizo yaliyokithiri kiasi cha kushindwa kuwa na historia ya kuwa mpenzi hadi sasa.
Lakini kwa sasa nina hamu...
Hey in here,I'm looking for cool friends to talk to.
Share experiences advices, just what friends can do.
I'm 29,friendly n easy to get along with. I work If ur interested pls pm me and I'll...
Science Just Revealed How To Tell If Your Partner Will Cheat On You
Did your significant other just catch you cheating? According to a new study, you may be able to blame it on your parents...
Habar wandugu kwa kifupi mi nina kautajiri kakusogeza life mbele nyumba 4 mbili gorofa mbili za chini maduka 3 mawili ya kawaida moja la kuuza spea za magari na gari za kutembelea 3 BMW AUDI na...
Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba.
WASIFU WANGU
UMRI:30
DINI:MKkristo
ELIMU: Degree ya kwanza
KAZI:Mwajiriwa
NAPENDELEA:Kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.