Mrembo Msomi Mwafrika Popote Ulipo

Mrembo Msomi Mwafrika Popote Ulipo

Newtongift

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
93
Reaction score
5
ndugu wanajf natumaini mko powa. natafuta mrembo msomi mkristo anayejiheshimu katika nyanja zote. popote alipo ndani na inje ya nchi kwa ajili ya kujenga maisha kisomi. mimi ni mwanaume mtanzania mjasiria mali mwenye umri 32 years nnayemtafuta awe na umri kuanzi 20-26yrs mwenye elimu yeyote kuanzia form iv na kuendelea. mwenye moyo wa kujituma kazni kwa ajili ya maendeleo ya familia kama si mkristo awe tayari kuingia ukristo. kwa mwenye uhitaji anipm. KARIBUNI JAMANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom