I tried so hard to find friends in the sea of loneliness, only to find that loneliness was my only friend.I dont know why i'm here or but atleast i believe i can get someone like me.
Pm me
Kwajina naitwa JL naishi Dar es salaam umri wangu 31, rangi yangu ni maji yakunde,dini Rc ni mtakae jinsia mwanamke umri wake 25-34,awe mweupe,elimu na kabila lolote,mwenye vigezo ani pm atajibiwa...
Naitwa Elisha nipo Dar es salaam nasoma chuo, natafuta mpenzi mwenye mpenzi ya dhati asiwe mpenda pesa umri kati ya miaka 18-23 namba yangu ni 0658281933, Sifa awe mfupi wa wastani.
Mimi ni kijana wa kati ninayejiheshimu,natafuta mwanamke wa kiislamu ili awe mchumba wangu na kama tutakubaliana tutaoana nipo makini na jambo hili.
Aliye tayari anaweza weka namba ya simu inbox...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, nina mtoto mmoja nahitaji kuwa na mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu, sibagui dini, kabila wala rangi.
Tafadhali iwe kwa anayehitaji tu...
Naitwa Ahmed nina umri wa miaka 30, naishi Dar es salaam, natafuta mchumba ambaye baadaye Mungu akipenda awe mke mwenye sifa zifuatazo:-
(1). Awe muislamu au dini yoyote lakini awe tayari...
nina rafiki yangu kipenzi ameathirika. ana afya nzuri na hatumii dawa. anamtafuta mwanaume mwenye status kama yake. awe na umri wa kuanzia 30 kwenda juu ili ukiwezekana waishi pamoja. tafadhali...
Waheshimiwa,
Mimi ni kijana 21 years looking for real friend, miaka 19-25 tutakaoweza kubadilishana mawazo na kukuzana kiupeo kupeana ushauri kufaana na kusaidiana nyakati zote, jinsia yoyote...
Wakuu habari yenu,
Mi ni kijana wa miaka 30 natafuta mrembo wa kumuoa awe mweupe asiye tumia mkorogo wa aina yoyote niko tayari kumpa hata zawadi ya gari kama ataridhia kuwa na mimi awe anaanzia...
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama...
Hello wapendwa,
Natafuta rafiki wa kike mwenye upeo wa kimaendeleo awe na age kati ya miaka 20-25, aliye tayari anifollow in box ili Tuwasiliane.Thanx to you all
Mimi ni kijana miaka 35, nimeachana na mke wangu miezi michache ilipita. Nina watoto 2, Ninahitaji mwanamke wa kabila lolote but specifically awe mkristo miaka 20 - 30.
Awe na shepu kiasi, mcha...
Natafuta mpenzi baadae awe mke mwenye umri kati ya 24-28, urefu angalau 165 cm, kabila lolote, dini Mkristo. Mwenye degree na kazi atapewa kipaumbele.
PM if your interested
Habari zenu wakuu,
Nimekumbuka sana barua za kiswahili zilizokuwa zikiandikwa kwa umaridadi huku zimepambwa kwa maua ya rangi mbalimbali, mfano :A S kiss::A S-heart-2:.
Sasa nataka kurudia huu...
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 24, nipo Dar es salaam. Natafuta msichana yeyote mzuri mwenye umri kati ya 18~24 kwa ajili ya mahusiano baadae ndoa.
Mwenye kuhitaji ani pm tupange yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.